Kafulila: Serikali inakopa T-bills kwa 5% wakati Msumbiji 17%, Kenya 16%, Malawi 16%, Zambia 10%, Namibia 9%, Uganda 9%, SA 8%. Uelekeo wetu ni sahihi

Kafulila: Serikali inakopa T-bills kwa 5% wakati Msumbiji 17%, Kenya 16%, Malawi 16%, Zambia 10%, Namibia 9%, Uganda 9%, SA 8%. Uelekeo wetu ni sahihi

View attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.

Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.

Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )

View attachment 3016048
Mbona mm hiyo rate siioni hapa?

Treasury Bonds Issuance Calendar For The Financial Year 2023/24

by SOLOMON

On behalf of the Government of the United Republic of Tanzania (URT), the Bank of Tanzania plans to issue 2-year, 5-year, 7-year, 10-year, 15-year, 20-year, and 25-year Treasury bonds; and 35-days, 91-days, 182-days and 364-days Treasury bills, during the financial year 2020/21.

The Treasury bonds issuance calendar is as outlined in the table below. Treasury bills will be issued on Wednesdays, on the weeks between the Treasury bonds’ issuance dates. More details will be released in each auction Call for Tender.

NOTE:

On behalf of the Government of the United Republic of Tanzania (URT), the Bank of Tanzania plans
to Re-open 10-year, 15-year, 20-year and 25-year Treasury bonds; as well as 35-days, 91-days,
182-days and 364-days Treasury bills, during the financial year 2023/2024. Treasury bills and
bonds auctions will be issued in the following order, or another day in case of public holidays

AUCTION DATEBOND TENURECOUPON RATE
05-Jul-232 YEARS7.60%
19-Jul-2310 YEARS10.25%
02-Aug-235 YEARS8.60%
16-Aug-2325 YEARS12.56%
30-Aug-2310 YEARS10.25%
06-Sep-232 YEARS7.60%
20-Sep-2315 YEARS11.15%
04-Oct-2310 YEARS10.25
18-Oct-235 YEARS8.60%
01-Nov-2320 YEARS12.10%
15-Nov-232 YEARS7.60%
29-Nov-2315 YEARS11.15%
13-Dec-2310 YEARS10.25%
27-Dec-2325 YEARS12.56%
10-Jan-242 YEARS7.60%
24-Jan-2410 YEARS10.25%
07-Feb-2415 YEARS11.15%
21-Feb-2420 YEARS15.49%
06-Mar-2425 YEARS15.95%
20-Mar-2420 YEARS15.49%
03-Apr-2425 YEARS15.95%
17-Apr-2410 YEARS11.44%
01-May-2420 YEARS15.49%
15-May-2410 YEARS11.44%
22-May-2415 YEARS13.50%
05-Jun-2420 YEARS15.49%
19-Jun-2425 YEARS15.95%
 
Acha kupotosha,ulichoeleza ndio kinyume chake maana inategemea kama Serikali inauza au inanunua T-Bills.

Mwisho Je malengo ya serikali Huwa hayafikiwi Kwa hizo hizo riba za chini?
Kama napotosha lete ufafanuzi wako,sio unakosoa juu juu pasipo kuleta machango wako.
Malengo yapi??
 
Hoja yako yako iko kinyume chako,

Mfano Benki ikinunua bonds za Tsh 100,000

Then mwisho italipwa TZS 100,000XO.O5=105,000

ILA BENKI WAO WANATOA PESA KWA 16%
Hoja yangu, banks hutumia amana fungati za wateja (fixed deposits) kununua trassury bills, kama gvt inatoa 5% maana yake banks wanalazimika kutoa riba chini ya 5% kwenye fixed deposits na hii sio nzuri kwa sekta ya amana na hati fungati, badala yake ndo tunakumbana na mikopo ya kausha damu
 
View attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.

Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.

Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )

View attachment 3016048
Huyu naye amegeuka Katibu mwenezi baadala ya kufanya kazi yake.
 
Hakuna Mtanzania Mtanzania anaweza akakubali hili
Wewe na we ni tumbili kweli.... Watanzania wangapi Wana taarifa hizo za interest? Au elimu hiyo.... Sio ishu ya kukubali tu, ishu ya kujua kinachoendelea. Kama taarifa Zenu zote mnafanya Siri mpaka zivuje ndio mnakuja na rundo la defence... Gadamn!!!
 
Mbona mm hiyo rate siioni hapa?

Treasury Bonds Issuance Calendar For The Financial Year 2023/24

by SOLOMON

On behalf of the Government of the United Republic of Tanzania (URT), the Bank of Tanzania plans to issue 2-year, 5-year, 7-year, 10-year, 15-year, 20-year, and 25-year Treasury bonds; and 35-days, 91-days, 182-days and 364-days Treasury bills, during the financial year 2020/21.

The Treasury bonds issuance calendar is as outlined in the table below. Treasury bills will be issued on Wednesdays, on the weeks between the Treasury bonds’ issuance dates. More details will be released in each auction Call for Tender.

NOTE:

On behalf of the Government of the United Republic of Tanzania (URT), the Bank of Tanzania plans
to Re-open 10-year, 15-year, 20-year and 25-year Treasury bonds; as well as 35-days, 91-days,
182-days and 364-days Treasury bills, during the financial year 2023/2024. Treasury bills and
bonds auctions will be issued in the following order, or another day in case of public holidays

AUCTION DATEBOND TENURECOUPON RATE
05-Jul-232 YEARS7.60%
19-Jul-2310 YEARS10.25%
02-Aug-235 YEARS8.60%
16-Aug-2325 YEARS12.56%
30-Aug-2310 YEARS10.25%
06-Sep-232 YEARS7.60%
20-Sep-2315 YEARS11.15%
04-Oct-2310 YEARS10.25
18-Oct-235 YEARS8.60%
01-Nov-2320 YEARS12.10%
15-Nov-232 YEARS7.60%
29-Nov-2315 YEARS11.15%
13-Dec-2310 YEARS10.25%
27-Dec-2325 YEARS12.56%
10-Jan-242 YEARS7.60%
24-Jan-2410 YEARS10.25%
07-Feb-2415 YEARS11.15%
21-Feb-2420 YEARS15.49%
06-Mar-2425 YEARS15.95%
20-Mar-2420 YEARS15.49%
03-Apr-2425 YEARS15.95%
17-Apr-2410 YEARS11.44%
01-May-2420 YEARS15.49%
15-May-2410 YEARS11.44%
22-May-2415 YEARS13.50%
05-Jun-2420 YEARS15.49%
19-Jun-2425 YEARS15.95%
Andiko la Kafulila haliongelea Treasury Bond, Limeongelea Treasury Bills. Tbills ni za muda mfupi kama siku35, 92 au 182 na haivuki mwaka1. Ndio zinaitwa hati fungani za muda mfupi na ndio riba ya 5%

Wewe hapa unazungumzia bonds
 
Ila Kafulila Muongo Sana. Anadanganya ili apate cheo Cha Zuhura.
 
Ni kwamba hizo Treasury bills zinakopwa ili kufidia kiasi Cha pesa kilichopungua kwenye bajeti ya Serikali.
 
Back
Top Bottom