CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Habari JF,
Pamoja na kelele nyingi dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka, Wapinzani wakidai uchumi wa Tanzania unadorola.!
Taarifa hii ya IMF naamini itakuwa si njema sana kwao kwani wakati wote na popote namba huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo au uzushi hasa kwa wale wasiolitakia mema Taifa hili.
=========
Katika ukurasa wake wa twitter (X) zamani tweeter Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila ameandika haya kwa ufupi ( soma hizo tweet tatu hapo chini kwa makini)
Kwa niaba yangu na familia nzima ya JF naomba kumpongeza sana Mhe David Kafulila Kwa kuendelea kuyasema mazuri yote ya Serikali ya awamu ya sita bila kujali majina mengi anayoitwa mara aitwe Chawa Promax , mara aitwe mgane et Al.