Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

Tokea aondoke magu bei ya vitu imepaa balaa
Unga,mchele,mafuta,nauli hadi maharagr bei ipo juu
 
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola,

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima milele huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter Kamishna mkuu wa PPP nchini Tanzania Bw David Zacharia Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

View attachment 2753025
Wanasiasa malaya malaya kama Kafulila hawatufai.
 
Aliye muongo zaidi ndo hupewa teuzi
 
Ukuaji wa uchumi utafsiriwe na maendeleo ya watu, Si kama ilivyo sasa hali ya maisha ya Watanzania ni ngumu mno.
 
Back
Top Bottom