Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

Vipi maisha ya watu? Vipi vipato vya watu mmoja mmoja wana pesa mifukoni?
Jishughulishe kwenye fursa zilizopo kwenye sekta za kilimo, biashara, uvuvi, utalii, madini nk.

Kushinda JF kuikosoa Serikali hakuwezi kukuletea fedha mfukoni. Utaishia kulalamika tu na kuwashangilia akina Tundu Lissu na Mdude wakifurusha matusi
 
Ukiwaji wa uchumi uakisi maendeleo ya watu
Huu ukuaji wenu wa kwenye makaratasi wakat kitaa maisha ni magumu

Watu wanamaisha magumu micro finance na saccos zinazid kuongeza ugumu wa maisha watu wanakopa kla sku mfanyakaz anafanya kaz mshahara wote anaenda kulipa madeni vikoba na saccos af nyie mnasema uchumi umekua shithole kabsa
 
Jishughulishe kwenye fursa zilizopo kwenye sekta za kilimo, biashara, uvuvi, utalii, madini nk.

Kushinda JF kuikosoa Serikali hakuwezi kukuletea fedha mfukoni. Utaishia kulalamika tu na kuwashangilia akina Tundu Lissu na Mdude wakifurusha matusi
Kwani wewe ndo unamlisha?.Watu wanaongelea maisha ya jumla ya wananchi walio wengi wewe unawaza maisha ya ubinafsi wa mtu mmoja mmoja.Hakuna ambaye hafanyi kazi ila kinacholalamikiwa ni zaidi yakufanya kazi.
 
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola,

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima milele huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter Kamishna mkuu wa PPP nchini Tanzania Bw David Zacharia Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

View attachment 2753025
Kazi nzuri Rais Samia kazi nzuri mchambuzi Kafulila.
 
Wakati wa Mama pesa ipo sana tu labda uwe hutaki kufanya kazi
Hata kwa Magufuri mlikuwa mnasema hivi hivi baada ya Magufuri kufariki mkageuka na kuanza kumnanga kweli ninyi ni kunguni.Nyerere alikataza sana Ukupe lakini hamtaki kusikia mpaka mtakapoolewa na Waarabu wa Dubai ndipo akili zitakapowakaa sawa.
 
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola,

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima milele huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter Kamishna mkuu wa PPP nchini Tanzania Bw David Zacharia Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

View attachment 2753025
Hii nchi ni tajiri sana,sema inaliwa na watu wachache!
 
Kwani wewe ndo unamlisha?.watu wanaongelea maisha ya jumla ya wananchi walio wengi wewe unawaza maisha ya ubinafsi wa mtu mmoja mmoja.Hakuna ambaye hafanyi kazi ila kinacholalamikiwa ni zaidi yakufanya kazi.
Maisha ya walio wengi yamefanyaje?

Uchumi uko 🔥🔥
 
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola,

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima milele huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter Kamishna mkuu wa PPP nchini Tanzania Bw David Zacharia Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

View attachment 2753025
Huyu mother anastahili pongezi sana,Mungu ambariki
 
Kwani wewe ndo unamlisha?.watu wanaongelea maisha ya jumla ya wananchi walio wengi wewe unawaza maisha ya ubinafsi wa mtu mmoja mmoja.Hakuna ambaye hafanyi kazi ila kinacholalamikiwa ni zaidi yakufanya kazi.
Uandishi wake ukiusoma utagundua yuko frustrated na utawala wanawamu ya 6.
 
Back
Top Bottom