Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

Aende Nguruka kwao akaone uchumi ulivyo kuwa.
 
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola,

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima milele huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter Kamishna mkuu wa PPP nchini Tanzania Bw David Zacharia Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

View attachment 2753025
Sasa si angetaja vigezo vipi vimefanya uchumi ukue yaani hiyo GDP. Kilimo- hapana, trade hapana? FDI hapana. Bado tupo pale pale, heavy infrastructures investments zilizofanywa na JPM ndizo factor pekee kwa ukuzi huu na sasa tutaanza kuporomoka tena.
 
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola,

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima milele huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter Kamishna mkuu wa PPP nchini Tanzania Bw David Zacharia Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

View attachment 2753025
Ukiweka Population....kwenye equation yake, utaona maajabu kama maajabu haya!

Hakika takwimu hazindanganyi, ila mchanganuo ukiwa na kasoro, tunadanganyana.

Watu wananjaaa!

Na kadi za Uanachama wa CCM je? kuna takwimu?
 
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola,

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima milele huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter Kamishna mkuu wa PPP nchini Tanzania Bw David Zacharia Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

View attachment 2753025
Ni kweli umekua Hadi ukazifukuza Dola zote nchini! Ajabu hii!
 
Jishughulishe kwenye fursa zilizopo kwenye sekta za kilimo, biashara, uvuvi, utalii, madini nk.

Kushinda JF kuikosoa Serikali hakuwezi kukuletea fedha mfukoni. Utaishia kulalamika tu na kuwashangilia akina Tundu Lissu na Mdude wakifurusha matusi
Ushauri uzingatiwe
 
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola,

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima milele huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter Kamishna mkuu wa PPP nchini Tanzania Bw David Zacharia Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

View attachment 2753025
Uchumi bila umeme oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
 
Basi kama ni hivyo maisha ya watz yameboreka Kwa umeme imara na kushuka Kwa GHARAMA za mafuta
 
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola,

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima milele huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter Kamishna mkuu wa PPP nchini Tanzania Bw David Zacharia Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

View attachment 2753025
Great Mama forever
 
DP World ndio nchi gani mzee?

Mbona Mkapa alibinafsha kila kitu na husemi chochote?
Mkapa ni Rais wa mfano Tanzania alifuta kodi ya kichwa na kodi za kijinga jinga na nchi ikawa kwenye ramani ya Dunia,hawa waliomfuatia baadaye wamekuja tu kuiharibu Tanzania na kunufaisha familia zao na maeneo wanakotokea.
 
Back
Top Bottom