Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

View attachment 2991403
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi na kusoma Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola.!!

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter(X) Mkurugenzi wa PPP nchini Tanzania Bw David Zacharia Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

Kwaniaba yangu naomba kumpongeza sana Kafulila Kwa kuendelea kuyasema mazuri ya Serikali ya awamu ya sita bila kujali majina anayoitwa mara Chawa, mara kiroboto et Al
Hongera sana ndg yangu Kafulila naona nia yako ni njema Mungu akupe tarajio la moyo wako,

Hakika unanisaidia CCM na Rais Samia na Serikali,

Unajibu hoja kwaakili na kwa staha sana,

Hakika Umebarikiwa sana ndg yangu.

Nafuatilia maandiko yako yote hata usiku huu,

#Ubarikiwe, Ubarikiwe Ubarikiwe X7
 
View attachment 2991403
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi na kusoma Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola.!!

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter(X) Mkurugenzi wa PPP nchini Tanzania Bw David Zacharia Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

Kwaniaba yangu naomba kumpongeza sana Kafulila Kwa kuendelea kuyasema mazuri ya Serikali ya awamu ya sita bila kujali majina anayoitwa mara Chawa, mara kiroboto et Al.
View attachment 2991401
Mama kama,
Mitano tena
 
Mwanasiasa malaya malaya hatufai.Kafulira ni jipu lililoiva.
 
Hongera Mama Samia wetu.
 
Vipi maisha ya watu? Vipi vipato vya watu mmoja mmoja wana pesa mifukoni?
Tukiendelea kuishi kwa takwimu bila ya kuwa na mikakati thabiti ya kubadili hizo takwimu kwenda kwenye maisha halisi ya wananchi, tutakuwa tunacheza ngoma ya sindimba tu. Itakuwa ni kucheza na economic growth tu na si kufocus kwenye economic development.
 
Kuhama hama ni ukomavu wa kisiasa nadhani mtazame Kafulila kwenye angle ya kawaida yake kuchukia rushwa na Ufisadi na Uzembe kazini achana na hama hama hiyo ipo Kikatiba
Mbona ndiye anayeongoza kwa kuchukua rushwa,alichukua rushwa kwa Magufuri na akapewa cheo.Sasa amebaki kumsifia Rais Samiah ili apate uongozi lakini Samiah anamwangalia tu.Labda huyo Kafulira ndiyo Lucas Mwashambwa.
 
View attachment 2991403
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi na kusoma Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola.!!

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter(X) Mkurugenzi wa PPP nchini Tanzania Bw David Zacharia Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

Kwaniaba yangu naomba kumpongeza sana Kafulila Kwa kuendelea kuyasema mazuri ya Serikali ya awamu ya sita bila kujali majina anayoitwa mara Chawa, mara kiroboto et Al.
View attachment 2991401

Kafulila huwezi kutumia historia pekee bila kuangalia uwekezaji. Hatujui uwekezaji mkubwa wa Kenya kwenye technology na hizo kampuni utakuwaje. Vilevile tunajuaje kwamba Tanzania itaendelea na amani wakati hatuna katiba mpya na sheria za uhakika kama wenzetu. Tanzania kuna political risk kubwa kuliko Kenya maana wenzetu wana mfumo sisi tunaenda kiuongo uongo na kutegemea watu na sio mfumo imara. Siasa za ndani, muungano, uwekezaji unalalamikiwa kuanzia bandari, airports na mbuga. Bila mabadiliko makubwa ya kiasasa Tanzania miaka 10 ijayo itakuwa kwenye migogoro mikubwa ya ndani ya kisiasa.

Kama tunataka kujihakikishia kukuwa ni lazima tubadilishe katiba na isiwe katiba ya kiasasa bali kiamaendeleo kama wenzetu
 
Asante sana.
 
Napenda kukwambia kuwa Taifa letu na Nchi yetu itaendelea kutamalaki kwa amani na utulivu muda wote.
 
Itaendelea kama katiba itapitikana miaka miwili au mitatu ijayo bila hivyo ni ndoto. Magufuli pekee alishageuza kila mtu. Watu walikuwa wanapigwa risasi, bank account zilikuwa freezed, biashara kufungwa sasa kama ile ilikuwa imani kwako basi maana zetu za imani hazifanani. Magufuli angekuwepo leo nchi yetu tungekuwa tunashujudu kwake kama Mungu leo unakuja na kusema 2030!. Kichaa mmoja kwa katiba hii anaweza kufanya hii nchi kama Sudani. Kama ni mdogo kwa umri basi hauelewi chanjo cha imani tuliyonayo. Nyie machawa ndiyo mtakuwa mstari wa mbele kushangilia na kufuata upepo wowote. Magufuli alisema mikutano inaleta vurugu je hizo vurugu ziko wapi na nyie mli support uongo sasa nyie kwa uchawa huu mtawezaje kumzuia Raisi kubadilisha sheria na kuongezewa muda!
 
Rais Samia hata akiongezewa muda ni sawa tu maana anakubarika na kupendwa sana na watanzania kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka na uzalendo wake kwa Taifa letu
 
Nchi sio watu ni mifumo imara. Yaani kiongozi bora ni yule anayeweka mifumo bora sio kuongea au uchawa pekee. Madikteta wote wanasema wanapendwa na kila mtu lakini wanaishiaga kuangushwa vibaya. Hata Hilter alisema anapedwa na watu lakini aliishia wapi? Binadamu wanapita tu Mama akiondoka ataacha mfumo gani imara! Katiba sio ya chama ni ya nchi
 
Rais Samia anapendwa na kukubalika kutokana na aina ya uongozi wake ,ikiwa ni pamoja na kuimarisha mifumo .Ndio maana unaona Rais wetu haiingilii taasisi hovyo hovyo.
 
View attachment 2991403
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi na kusoma Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola.!!

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter(X) Mkurugenzi wa PPP nchini Tanzania Bw David Zacharia Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

Kwaniaba yangu naomba kumpongeza sana Kafulila Kwa kuendelea kuyasema mazuri ya Serikali ya awamu ya sita bila kujali majina anayoitwa mara Chawa, mara kiroboto et Al.
View attachment 2991401
Hii sijui kama ni ukweli hii
 
Back
Top Bottom