12STONE
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 1,189
- 407
KAFULILA ajue hatuli wala hatushibi data za uongo Ni busara IPI inatumika kuuza Bandari zetu kwa waarabu huko ndio kukua kwa uchumi ama kushindwa kushindwa kuendesha shughuli za kukuza uchumi wa Nchi.
Ruhusuni katiba mpya YENYE meno ya kumkaba RAIS uone Kama baadhi yenu hatakimbia Nchi.
Pia wekeni wazi Nani Kati ya viongozi wetu ameweka Fedha kwenye akaunti za Nchi za nje,Tujionee miamala Yao inasomaje.
Mnakiburi kwa sababu kila kitu kinafanywa kwa Siri mpaka tujue Ni mzalendo kutuibia Siri za miakataba mibovu ya kinyonyaji.
MAJIZI MAKUBWA NYIE.
Hakuna marefu yasiyo Ncha Wala Hakuna jbo lisilo na mwisho.
Siku unakuja nayo inafanya haraka Sana kufika tutakuwa na katiba Mpya tu YENYE kulinda na kutetea maslahi ya Wananchi na Kulinda Rasilimali zetu.