Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

Mama anawajali sana wauza unga hapa nchini.
 
Asante Mama
 
Rais Samia hongera sana mama
 
Hongera Samia
 
The best thread of mine
 
Safi sana
 
Hii kampeni anayoifanya huyu Kafulila narudia tena inaharibu kabisa hoja za Upinzani na bahati mbaya watu wa Upinzani wenye uwezo wa kuchambua mambo ya Kiuchumi nao wako kimya kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…