Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

Kenge wa chadema hawataki kuona hii kitu
 
Punguzeni shobo
 
Mimi na Samia dam dam mpaka 2030 tuombe Mungu
 
Hongera sana Rais Samia
 
Kafulila nakupongeza sana Kwenye hili brother.
 
Iwapo SGR itafika Mwanza na Kigoma, na mikoa isiyo na reli ikaunganishwa kwa reli na umeme ukawa haukatiki na ukawa wa kutosha kusupport viwanda nadhani mwaka 2030 ni mbali Tanzania itaipita Kenya kiuchumi kabla ya hapo.

For now hizo ni projections tu sio uhalisia. Kinachowaua Kenya ni ufisadi uliokithiri serikalini na ukabila ulioota mizizi, vita ni kubwa kati ya Kikuyu na Jaluo huku bongo inawapita kiuchumi hawana habari!

Bado Bimkubwa ana kazi kubwa ya kufanya ila binafsi naona Mama ameweza kuvaa viatu vya Magu kiasi flani , kuna ukali bado hajafanya kwa mawaziri na mabalozi, akifanya atakuwa bora zaidi.

It is also very true that we need an English speaking society to attract international transfer of capital and technology and more tourists. Huu ni ukweli mchungu.
 
SGR itafika soon huko kote chief
 
Mimi na Samia plus Machawa pro max
 
Kafulila ni chawa aliyechangamka
 
expand...
Pamoja na kazi nzuri anayoifanya David Kafulila bado Watanzania wanahitaji kupewa Elimu ya kutosha juu ya mambo mazuri kama haya ,

Shida ya Watanzania ni Taarifa tu ndio hawana ndio maana unaweza ukadhani ni wakorofi kumbe hapana

Watu wengi tunaioenda sana CCM.
 
Kila mmoja anakubaliana na hii hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…