Itakuwa US $ 10 billionsHivi US$ 1 billion = Tsh. 26 trillioni
πππ Mzee wa EscrowTumbiiri katika ubora wake
Samia apewe 10 tena,Kwani Pale Bungeni Kuna Wabunge wa Tanganyika wangapi?
Shida ya Rais hapo ni nini?
Fatma Karume: Mule Bungeni wabunge wa Zanzibar ni 50 tu na Watanganyika zaidi ya 250 ππππππ
Bwashee Umemaliza Uzi ufungwe πKwani Pale Bungeni Kuna Wabunge wa Tanganyika wangapi?
Shida ya Rais hapo ni nini?
Father Kitima na Lissu au Mwabukusi walikuwa wananufaikaje na Bandari hadi kupiga kelele namna hii ?Ukweli ni kwamba hiyo bandari miaka yote walifaidi watu wachache sana na ndio hao wanapiga sana kelele leo
Watafute uwaulize,Father Kitima na Lissu au Mwabukusi walikuwa wananufaikaje na Bandari hadi kupiga kelele namna hii ?
Sikiliza clip yake ndio msimamo wake,Huyu mwisho wa siku ataharibu hata kazi yake nzuri kwa uchawa. Watu hawajapinga PPP, wamepinga mkataba wa bandari kukiuka sheria za maliasili na uhuru wa nchi.
Umesema watu wanaopiga kelele ndiyo wachache waliokuwa wakinufaika na bandari.Watafute uwaulize,
Waulize pia,
Wanafahamu kuwa wafanyakazi wa bandari waliosha magari yao kwa Bia?
Wanafahamu kuwa wafanyakazi wa bandari Kila mmoja alitoka na 10M Kwa siku?
Wacha tuone na ya DP WORLD
Zote zakoPamoja na hii yangu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sana. Umenikumbusha ile topic ya rate and variation.1$ =2,600TZS