Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6

Too late. Hatuwezi kuendelea na Bandari kwa mfumo ule ambao Watanzania mligeuza kuwa shamba la bibi.

Ubinafsishaji huonekana kama mbaya mwanzoni lakini muta appreciate kuwa yalikuwa ndiyo maamuzi bora kabisa kuwaleta DP WORLD.

Hata ubinafsishsji wa NBC, TCC na TBL haukuwa mwepesi kihivyo. Watu walipinga sana lakini sasa hivi TBL, TCC, NMB ndiyo makampuni yanaongoza kulipa kodi na gawio kwa Serikali.
 
Safi sana. Umenikumbusha ile topic ya rate and variation.
1$=2600 Tsh
1000,000,000$=2600*1000,000,000
=2.6 Trillions TSH.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Nimesahau hiyo nukta pale kwenye heading ila kwenye habari Niko sahihi naona mkuu. 🤝🤝
 
Nakuunga mkono ndg yangu,

Pale bandarini Upigaji ulikuwa wa Kutisha aise,

Wacha inyeshe tuzibe panapovuja tu
 
Hajasema kuwa uwekezaji was fedha uliofanywa ukigawanya Kwa watz million 60,Kila MTU ana sh.ngapi!!?yaani Mimi hapa changu ni kiasi Gani kwenye huo mkataba!!?

Kauli ya "mzanzibari kauza Bandari ya Tanganyika"haiwezi kujibiwa hivyo,huko ni ku dodge the bullet!!
 
Niwapi kajibu huo ukichaa wa CHADEMA , Kafulila sio mwanasiasa siasa fanyeni nyingi mnatosha,

#Hii speech ni more professional
 
Mzanzibar kauza bandari ni kauli ya kibaguzi na kishenzi na haipaswi kuvumiliwa.

Maamuzi ni ya Rais kwa vile alivyoona inafaa ameamua kukodisha kwa mkataba wa miaka 30. Mbona TICTS walikuwa hapa Bandari kuanzia mwaka 1998 na hatujasikia kauli za Mmakonde kauza Bandari?

Au NBC kuingia ubia na RABO Bank ya Netherlands na kuwa NMB, mbona hatulalamiki?
 
Aaha, kumbe hawa kina Kafulila na wenzake huko CCM wanatetea "AWAMU" na sio ubovu wa sera na mipango ya CCM na serikali yake kwa ujumla.

Wanazungumza kana kwamba hii nchi ilishatawaliwa na chama kingine wakati miaka yote 63 tangu 1961 na wao wenyewe. Hataki kusemwa kwa ubaya wao. Wanaanza kujitetea kwa mtindo wa "awamu" badala ya ubovu wa sera, mipango na mikakati ya CCM miaka yote hii.

Kuna m - CCM mwingine anaitwa Abdulhaman Kinana, yeye alimtetea Samia Suluhu Hassan kwa namna hii hii ya kijinga na kipumbavu kwa kigezo cha "awamu".

Kwamba kama ni uuzaji na ugawaji wa mali za Tanganyika haukuanza na awamu ya Rais Samia Suluhu Hassan. Walifanya kina Mwinyi, Mkapa, na Kikwete..

Akauliza kwanini lawama zinamwelekea Samia Suluhu Hassan pekee? Huu ni ubaguzi.!!

Hawa ndiyo CCM. Wamebanwa mpaka wanajitafuta na kujikuta wanakanyagana hovyo.

Nasema this time hakuna kurudi nyuma. Ni lazima jini litoke kwenye chupa.!
 
Huyu naye angekaa kimya kila siku na vimaneno vyake vya kichawa. Very stupid
 
Kafulila ni jiwe sana, Kama Kuna mtu anamsaidia mama vizuri huenda akawa ni huyu jamaa
 
Napigia mstari yote uliyoandoka
 
Great Kafulila, Mitano kwa Samia
 
Mr 2Mbili
 
Hili lilikuwa ni bonge la interview aise.
2.6trl sio pesa kidogo
 
UNAWEZAA KUFANYAA UNAWEZA KUTENDAAA MAMBOO MAKUBWAA ZAIDI YA NIOMBAVYOOOO X 3
WIMBO MZURI SANA MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…