Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6

Tanzania ipo siku itakuwa safi sana
 
Jinga mbuzi hawa! Yaani $1 billion kwa nchi ya watu 65 mil. ni pesa hiyo? Si ni sawa na kumgawia kila mtu thumuni? (kama kuna anayejua pesa hiyo)! Yeye aona ni mafanikio makuuuuubwa! Kweli 'ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno' Washwahili walisema.
 
Ni ndogo sana au kubwa sana?
 
 
Kwanini utukane watu?

Sasa watu 65m umeambiwa huo ni mgao?

Punguza uzwazwa ndg yangu
 
Bandarin pekee ingetupa asilimia 70 ya mapato lakini nchi hamnazo
 
Kwanini utukane watu?

Sasa watu 65m umeambiwa huo ni mgao?

Punguza uzwazwa ndg yangu
Jf Kuna watu na mamtu, unakuta mtu anastress zake za mtaani analeta hata great thinkers
 
Ninapomwona Kafulila naamini kama Taifa tuko salama, Sijui chochote kuhusu Ubia ila namjua Kafulila
 
Kipindi cha Magu walikuwa wanatoa manamba ya ajabu ajabu ya viwanda, walipobanwa wakasema hadi cherehani 3 ni kiwanda cha nguo 🤣 🤣 🤣 🤣

Wapi kuna orodha ya hiyo miradi na sisi tuhakiki
 
Kipindi cha Magu walikuwa wanatoa manamba ya ajabu ajabu ya viwanda, walipobanwa wakasema hadi cherehani 3 ni kiwanda cha nguo 🤣 🤣 🤣 🤣

Wapi kuna orodha ya hiyo miradi na sisi tuhakiki
🤣🤣🤣Nimecheka kwa sauti sana,

Hayati Magufuli aliamini sana kwenye namba
 
Mitano tena Mama
 
Kazi iendelee
 
40.6T sio pesa kidogo,
114T miradi hii itekelezwe kwa ukweli sio namba namba tu
 
Kazi iendelee nasema
 
Jina lako ni zuri ila matamshi yako hapana.
 
#MITANO TENA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…