Ongezeko la deni la taifa ni lazima liendane na uchocheaji ukuaji wa uchumi, sambamba na jitihada za kupunguza umaskini nchini. Hoja ya Kafulila ingekuwa na mashiko kama tu ingeakisi maeneo haya, na kwa kutoa takwimu na utajiri wa rasilimali uliopo wenye kuilinganisha na jitihada za nchi nyingine kusini mwa Jangwa la Sahara ingezidi kuwa na mashiko zaidi.Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
Sasa kafulila msomi !!Tatizo la wasomi wetu ndo hili
Kutetea ujinga ili waitwe kwenye meza ya kula
Nimekubali kweli huyu ni PimbiHiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
Hakuna kiongozi hapo namuona chawa manyotaaa tu.Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
Uwiano wa deni kwa pato la taifaHiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
Mbona hata TRUMP alitoka DEMOCRATIC?1. NCCR mageuzi
2. Chadema
3. CCM
Huyu ni mtu sasa? Kila Leo yuko chama kile.
Ngedere ameukumbuka u-RC!Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
Unamlinganisha ngedere na bilionea?You've gone nuts!Mbona hata TRUMP alitoka DEMOCRATIC?
sio sifa sana kujisifu nina deni dogo.Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
Aisee hizi kauli za kulinganisha matatizo na nchi zingine zinakera sana, kama afrika kwa mfano huu tunashindana kukopa
Siku hizi tunamuita GedereT U M B I L I (TUMBILI2)
Tumbili ana beep ili apigiwe.Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
Kwa sasa naona amebeep FireTumbili ana beep ili apigiwe.
Atashuka mpa awe ka ngedereSiku hizi tunamuita Gedere
kwani akisema Wewe unapoteza nini?Anajaribu kuona kama anaweza kuteuliwa tena. Anafikiri alivuliwa cheo kwa bahati mbaya.🤣 Atajikomba weeee lakini nafasi imeisha. Bora achague kunyamaza kama wenzake walivyokuwa vyeo wakatumia tuliiiii😂😂😂😂😂