Kafulila: Tanzania ni nchi yenye deni dogo ukilinganisha na nchi zote zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hongera Rais Samia

Aisee hizi kauli za kulinganisha matatizo na nchi zingine zinakera sana, kama afrika kwa mfano huu tunashindana kukopa
 
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,

Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
Ongezeko la deni la taifa ni lazima liendane na uchocheaji ukuaji wa uchumi, sambamba na jitihada za kupunguza umaskini nchini. Hoja ya Kafulila ingekuwa na mashiko kama tu ingeakisi maeneo haya, na kwa kutoa takwimu na utajiri wa rasilimali uliopo wenye kuilinganisha na jitihada za nchi nyingine kusini mwa Jangwa la Sahara ingezidi kuwa na mashiko zaidi.

Kwa kulinganisha tu ukubwa ama uhimilivu, na pia kutaka kuhalalisha kuzidi kukopa ni kama vile hoja yake inaelea angani tu. Hivi ameangaika na kuangalia fursa za maendeleo zilizopo nchini kuendana rasilimali luluki zilizopo kwa kulinganisha na nchi nyingine!?

Huku akitambua takwimu za hivi karibuni zilizotolewa na WB na IMF zinaonyesha kuwa nchi yetu imeporomoka kutoka nchi zenye uchumi wa kati mpaka kufikia ule wa nchi maskini duniani. Ni kama vile yeye anaona kuwa ni jambo la fahari kuhalalisha umaskini wa nchi kwa kisingizio wengene pia ni maskini huku nchi ikiwa imebarikiwa utajiri mkubwa wa rasilimali.

Hoja kama hizi ndizo zinazidi kudumaza na kulemaza akili za watawala. Badala ya kuumiza vichwa ili kupunguza umaskini, wao huridhika tu na sifa wanazomwagiwa na hawa wapiga filimbi wa Hemelini.

Nchi haiwezi kuendelea kupitia mikopo kutoka nchi za nje tu, bali ni kupitia uwekezaji wenye tija wa akili za rasilimali watu, mapunduzi ya viwanda, sayansi na teknojia.
 
Mwanasiasa anae tafuta ulaji ni mtu hatari Sana anaweza kusema au kufanya chochote ilimradi atimize haja ya moyo wake, "unajichoma kidole unanusa alafu unasema kinanukia vizuri"
 
Kafululila ni bora akalime sasa, atasugua benchi mpaka makalio yaote sugu. CCM ina wenyewe, na wenyewe sio ngedere.
 
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,

Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
Nimekubali kweli huyu ni Pimbi
 
Hakuna kiongozi hapo namuona chawa manyotaaa tu.
 
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,

Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
Uwiano wa deni kwa pato la taifa
 
Ngedere ameukumbuka u-RC!
 
sio sifa sana kujisifu nina deni dogo.

deni ni deni tu hivi kwa akili ya kawaida iliyotulia kabisa unaweza kwenda mbele za watu ukasema wewe una deni dogo kuliko fulani na fulani
 
Attachments

  • 08A660D8-A1B6-451B-975B-C78784B5ED03.jpeg
    08A660D8-A1B6-451B-975B-C78784B5ED03.jpeg
    137.7 KB · Views: 2
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa,

Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu,
View attachment 2414017
Tumbili ana beep ili apigiwe.
 
Anajaribu kuona kama anaweza kuteuliwa tena. Anafikiri alivuliwa cheo kwa bahati mbaya.🤣 Atajikomba weeee lakini nafasi imeisha. Bora achague kunyamaza kama wenzake walivyokuwa vyeo wakatumia tuliiiii😂😂😂😂😂
kwani akisema Wewe unapoteza nini?
 
Back
Top Bottom