Kafulila: Tanzania ni nchi yenye deni dogo ukilinganisha na nchi zote zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hongera Rais Samia

Umeisha tapikwq huliki tena hata ukijipendekeza na kukubali kuinamishwq
 
kwani akisema Wewe unapoteza nini?
Aseme chenye pointi. We unaona anatumia akili kulinganisha Tanzania na nchi nyingine eti kisa ina deni dogo ukilinganisha na nchi nyingine zenye madeni? Au wewe ndo Kafulila mwenyewe?
 
Kafulila tafuta kazi nyingine
 
Takwimu zinaongea siyo watu wanabwajaja tu, ohh nchi itapigwa mnada.
 

Hivii saizi ya deni inalinganishwa na saizi ya deni la wenzako, au na saizi ya uchumi wako!!?
 
Ila Kafulila huwa napenda Sana hoja zake kwa unazungumza kwa data,

#Uishi milele brother,

Haya BAVICHA njooni mlete data na ninyi ili kumpinga Kafulila,
Na wewe ni chawa mpuuzi tu! Unasema aishi milele? Ni Mungu!
 
Huyu sasa aitwe kafulia,kwa kuwa mwenzio ana funza basi ukikatika vidole unajifananisha nae.
 
Kwani ze fank falacy anesemaje kuhusu hili?
 
Kafulila mpumbavu sana,anaishi kwa kulinganisha madeni na nchi zingine ,huu ni upuuzi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…