Weiterleitungshinweis
www.google.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani RC mstaafu haina shida wajombaRC mstaafu? Ukifutwa kazi unakuwa mstaafu?
Umeisha tapikwq huliki tena hata ukijipendekeza na kukubali kuinamishwqHiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu
Aseme chenye pointi. We unaona anatumia akili kulinganisha Tanzania na nchi nyingine eti kisa ina deni dogo ukilinganisha na nchi nyingine zenye madeni? Au wewe ndo Kafulila mwenyewe?kwani akisema Wewe unapoteza nini?
Kafulila tafuta kazi nyingineHiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu
Tangu azaliwe hajawahi fungua hata biashara ya genge....Kafulila kafanye biashara zingine una akili ya kutosha achana na siasa
Takwimu zinaongea siyo watu wanabwajaja tu, ohh nchi itapigwa mnada.Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu
Katoa takwimu siyo wale wanaobwajajaKafulila unapata wapi Muda wa kuandika ujinga? Nenda kalime biashara yako kwenye siasa na teuzi imekatwa kichwa
Takwimu zinaongea. Weka za kwako.Tatizo la wasomi wetu ndo hili
Kutetea ujinga ili waitwe kwenye meza ya kula
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu
Tatizo la wasomi wetu ndo hili
Kutetea ujinga ili waitwe kwenye meza ya kula
Na wewe ni chawa mpuuzi tu! Unasema aishi milele? Ni Mungu!Ila Kafulila huwa napenda Sana hoja zake kwa unazungumza kwa data,
#Uishi milele brother,
Haya BAVICHA njooni mlete data na ninyi ili kumpinga Kafulila,
Kafulila mpumbavu sana,anaishi kwa kulinganisha madeni na nchi zingine ,huu ni upuuzi,Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu
Maana ya kuishi milele "Kuishi miaka mingi "Na wewe ni chawa mpuuzi tu! Unasema aishi milele? Ni Mungu!