Jelamashele
Senior Member
- Nov 12, 2022
- 120
- 53
Kwani wanakula nini hawa wajinga. Walitaka nje awamu moja wanafilisika njaa zinawauma kama fisi wa mchawi akifa mchawi. Wanarandaranda mitaani wakipiga mawe na kugongwa na magari. Utakuta thread kibao raisi amtazame sijui nani.Tatizo la wasomi wetu ndo hili
Kutetea ujinga ili waitwe kwenye meza ya kula
Huyu Muha bado haamini kuwa katupwa?Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu
Hivi kweli hawa sio wale watu hawatali waoe dada au watoto zao.Huyu Muha bado haamini kuwa katupwa?
Kuna post siwezi ziruka nikiziona. Misukule ya kitanzania utasikia kwa vitu kama hivi.nchi nzima wajinga utasikia kakuchukulia demi wako. Kwa akili zao wameongea point sana.Jamaa alikula mkeo nini why unamchukia hivi?
Nasikitika kukutaarifu kuwa nafasi za uteuzi zimejaa.
Asante kwa kushiriki.
Sasa si upinge hoja yake kwa data badala ya kurusha matusi. Kwani kum-look down ndiyo kujibu hoja yake?Kafulila unapata wapi Muda wa kuandika ujinga? Nenda kalime biashara yako kwenye siasa na teuzi imekatwa kichwa
Yaani deni ni 40% ya mapato!!kama Pato lako ni 1000tsh ,deni ni 400!!harafu huyu mbwiga anasema tuone Sawa tu kwa vile hata jilani zetu madeni yao ni makubwa,!!!,Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu
Akili huna,China Hakuna Madeni? 😆😆Huwezi kuwa sahihi kwa hili, Ujamaa Uko China na hakuna Madeni
Sahihi kabisa mkuuHoja zake zina msingi wa takwimu hata kama wakileta chuki za kisiasa wanakuwa wakikosa mantiki katika maneno yao ya kumchafua.
ndio nini hii?!
Asubiri watu wammegee demu wake tu maana ameshakuwa marioo
Samia alipotoshwa vibaya kumwacha huyu mwambaIla Samia Kuna watu wanajipanga Kummaliza kabisa,
Sababu gani zilimfanya amteme huyu Mtu,
Kuna watu wabaya wanamshauri Rais Vibaya,
Samia mteue Kafulila akusaidie kutengeneza hoja hali ni mbaya upande wako
Nchi hii wanapenda mafisadi na wezi ndio asili ya Kafulila kuchukiwa.Jamaa alikula mkeo nini why unamchukia hivi?
Kafulila yuko njema SanaHiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu