Kafulila: Tanzania ni nchi yenye deni dogo ukilinganisha na nchi zote zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hongera Rais Samia

Kafulila: Tanzania ni nchi yenye deni dogo ukilinganisha na nchi zote zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hongera Rais Samia

Tatizo la wasomi wetu ndo hili
Kutetea ujinga ili waitwe kwenye meza ya kula
Kwani wanakula nini hawa wajinga. Walitaka nje awamu moja wanafilisika njaa zinawauma kama fisi wa mchawi akifa mchawi. Wanarandaranda mitaani wakipiga mawe na kugongwa na magari. Utakuta thread kibao raisi amtazame sijui nani.

Kafulila kachoka ktk hiyo meza kuliko walipokuwa chadema isiyo na Dola.
 
Watz ndio nawlewa kwanini hawana dhamani popote. Wanatumia nguvu kutafuta vyeo ambayo wakivipata haviwapilasting achievements. Wanaita na kufanya mambo mabaya. Wanachikipata wakikaa nje hawajui kukilinda. Sio muda wanakuwa kma fisi yatima wa wachawi. Mchawi akifa wanaanza kuranda Randa mitaani wanagongwana magari na kupigiwa mawe kila siku.
 
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa

Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu

Huyu Muha bado haamini kuwa katupwa?
 
Watz wajinga kweli kweli ukubwa wa deni sio ukubwa wa figure Ila pia uwezo WA kulipa wa mkopaji. Hapo ndio Tanzania kaonekana anaweza dhaminiwa Mkopo. Deni la more linaweza kuwa trillion za kitanzania na usisikie akidaiwa kwanvile analipa vyema. ila mama ntile laki 2 anakwapuliwa vikochi na subwoofer. Na halopesheki zaidi.

Kafulila kaamua aibisha serikali katika masikio ya wenye akili na kuwafumba wajinga. Pengine hakuona
 
Nasikitika kukutaarifu kuwa nafasi za uteuzi zimejaa.
Asante kwa kushiriki.
FB_IMG_1667945992088.jpg
 
Enzi za JK ccm walikuwa na Raha na majigambo kuwa wanakopesheka...kafulila hakuanza fikiria kuanzia hapo.
 
Kafulila unapata wapi Muda wa kuandika ujinga? Nenda kalime biashara yako kwenye siasa na teuzi imekatwa kichwa
Sasa si upinge hoja yake kwa data badala ya kurusha matusi. Kwani kum-look down ndiyo kujibu hoja yake?
Hivi nyie nyumbu mna akili za aina gani?
Hoja hujibiwa kwa hoja bwashee.
 
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa

Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu

Yaani deni ni 40% ya mapato!!kama Pato lako ni 1000tsh ,deni ni 400!!harafu huyu mbwiga anasema tuone Sawa tu kwa vile hata jilani zetu madeni yao ni makubwa,!!!,
Kwani sie tunafsidika na mapato ya jirani zetu?kama Hilo deni ni dogo,mbona tumeshindwa kulilipa?Raisi pekee aliyewahi kulipa sehemu ya deni ni Mkapa tu!!
Bajeti yetu yenyewe haitoshi,ni mpaka tukope ndio mishahara ilipwe,!!sasa huyu mbulu kenge anasemaje deni ni la kawaida!?
 
Mtu mwenye utajiri wa milioni 5 halafu akawa na Deni la milioni 1 (bila kujali kipato chake kwa muda husika) hilo ni deni dogo, ila ni ulimbukeni mtu mwenye utajiri wa laki 1 na deni la laki 4 aje mbele kujisifu kwamba deni lake ni dogo ukilinganisha na yule anaedaiwa milioni 1, deni linazidi assets halafu ujisifu ni dogo zaidi??!!!
 
Ila Samia Kuna watu wanajipanga Kummaliza kabisa,

Sababu gani zilimfanya amteme huyu Mtu,

Kuna watu wabaya wanamshauri Rais Vibaya,

Samia mteue Kafulila akusaidie kutengeneza hoja hali ni mbaya upande wako
Samia alipotoshwa vibaya kumwacha huyu mwamba
 
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa

Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya kupigwa chini U-RC kule Simiyu

Kafulila yuko njema Sana
 
Back
Top Bottom