Kafulila: Uchumi wa dunia ni US$ 105trilion 97% ni deni kukopa na kujenga ndio mpango mzima Duniani

Huyu Kafulila ndo amebaki mwana propaganda mashuhuri na mficha madhaifu ya serikali kuliko hata viongozi wa chama na serikali.

Huyu anawafaa CCM mkimpeleka ikulu awe msemaji wa serikali
 
Usitumie kichwa kubebea kamasi, hiyo barabara ya Dar Moro ijengwe na serikali yenyewe bila PPP, PPP ichukue miradi mikubwa ya kiuchumi. Haizidi bilioni 500 kuifanya iwe ya kisasa
Toa upuuzi wako,miradi ya PPP ni Ile ambayo inaweza pata Watumishi wa kibiashara,kama huna hela utapita Barabara ya zamani
 
Tutakopa tu hakuna namna tunataka maendeleo kwa haraka
 
Mkuu Kafulila katolea mfano wa Vietnam ili kuonyesha na kuhalalisha kuwa kukopa sio jambo baya au geni.

Kwa mtazamo wangu angeainisha ulinganifu yakinifu wa kiasi cha mikopo ya Vietnam na kiasi cha mikopo ya Tanzania kwa kipindi hiko cha miaka 30 huku akionesha jinsi ilivyotumika kwa kila nchi ili kuinua uchumi.

Mkuu sio kweli kwamba Vietnam ilikuwa ikikopa sisi Tanzania tukiwa tumepause, sio kweli kabisa, ukweli ni uliopo wazi ni kuwa nasi tulikuwa tunakopa vile vile.

Swali la kujiuliza, kama sisi wote Vietnam na Tanzania tulikuwa karibia sawa kiuchumi miaka ya 1990 na tumekuwa tukikopa wote, Vietnam wamepatia wapi hadi wawe na uchumi mkubwa kiasi hicho tajwa???

Na sisi Tanzania tumechemka wapi muda wote huo hadi tudumae kiasi hiki???

Haya ndiyo maswali muhimu ambayo Kafulila alitakiwa kuyapatia majibu, sio kuja kusifia ili kuficha kiwewe cha serikali kukopa holela bila matokea chanya!!!

Mkuu usisahau ukiwachekea tumbili hakika utavuna mabua!!!
 
Huyu Kafulila ndo amebaki mwana propaganda mashuhuri na mficha madhaifu ya serikali kuliko hata viongozi wa chama na serikali.

Huyu anawafaa CCM mkimpeleka ikulu awe msemaji wa serikali
Naona kajianzishia thread, kaiscreenshot post yake kisha kaamua aje aondike huku.. Reply yako hii nilitegemea angeireply ila Mjanja hajareply hata mimi naungana na maneno yako kafulila yupo vizuri sana ana ujasiri wa kujenga hoja hata akiwa mbele ya media anajua kufanya uchambuzi n.k
Naamini atafika sehemu nzuri zaidi baadae .
 
Tumbili [emoji205][emoji205][emoji205]
 
NI BORA KUPATA POINT ZA KAFULILA MARA 1000,ZAIDI KULIKO KUUSIKILIZA UTUMBO MAVI ANAOUZUNGUMZA LISSU
HUWA HAZUNGUMZII MAMBO YA KIAKILI YA KUJENGA TAIFA NA KUWAELEWESHA WATANZANIA TUNAKWENDA WAPI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…