Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Samia uliyemtaja ni nani?Kafulila sio Rais
Toa upuuzi wako,miradi ya PPP ni Ile ambayo inaweza pata Watumishi wa kibiashara,kama huna hela utapita Barabara ya zamaniUsitumie kichwa kubebea kamasi, hiyo barabara ya Dar Moro ijengwe na serikali yenyewe bila PPP, PPP ichukue miradi mikubwa ya kiuchumi. Haizidi bilioni 500 kuifanya iwe ya kisasa
Kichwani uliwekewa kimba au akili?Huyo Samia uliyemtaja ni nani?
Very true, ni joice lakini baada ya muda kuisha hizo barabara zinabaki kuwa mali ya SerikaliToa upuuzi wako,miradi ya PPP ni Ile ambayo inaweza pata Watumishi wa kibiashara,kama huna hela utapita Barabara ya zamani
Punguza mihemko BAVICHA twende polepole Mimi Leo nipo kwaajili ya hii habari nimeivuta kwa Kafulila ili tujenge hu mjadala sawa sawaKichwani uliwekewa kimba au akili?
Ndio ni lazima kukopa.Kukopa pia ni economic tool yaani ni lazima kukopaHakuna namna yoyote ya kutengeneza uchumi pasipo kukopa? Yaani lazima tukope ndio mambo yaende sawa?
👍 Picha nzuri!
Tutakopa tu hakuna namna tunataka maendeleo kwa haraka
===
David Kafulila, Mkurugenzi PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya,
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia nzima kwa sasa.
Kafulila anatufumbua macho kwamba nchi zote kubwa duniani tunazoziona zikimea zinajengwa kwa mikopo kwa wastani wa 97%
David anasema, wakati uchumi wa dunia umefikia US$ 105trilion, Deni lote la dunia ( serikali & private ) ni US$315trilion
Kwa lugha nyepesi,deni la serikali zote duniani limefikia US$ 97trilion sawa na 97% ya uchumi wa dunia,
Kafulila anasema deni lote la dunia kwa ujumla ni US$ 315 Trilioni zaidi ya 300% ya GDP ya dunia.
Vietnam ni nchi ya mfano duniani kwa muujiza wa kukuza uchumi ndani ya muda mfupi,
Mwaka 1990, uchumi wa Vietnam ulikuwa US$ 6.4bilion, mbele kidogo ya Tanzania iliyokuwa na US$ 4.5bilioni na nyuma ya Kenya iliyokuwa na US$ 8.4bilioni,
Lakini Leo miaka 30 baadae, uchumi wa Vietnam ni US$ 400bilion, karibu mara nne ya Kenya na mara tano ya Tanzania.
Hata hivyo, Mwaka 2007, wakati uchumi wa Vietnam ukiwa US$77bilion, sawa na Tanzania leo,
Mwaka huohuo wa 2007 uwiano wa deni kwa uchumi ulikuwa asilimia 43% karibu sawa na uwiano wa deni kwa uchumi wetu Tanzania.
Kukopa kujenga uchumi ndio njia na ndio Afya yenyewe ya nchi anasema David Kafulila.
View attachment 3011554
Hakuna shida tatizo ni hawa CHADEMA,Madeni makubwa ya kujenga uchumi na miradi Kuna shida gani?
Umesomea shule ipi mwana uchumi? Kukopa ni among tools of economy?Ndio ni lazima kukopa.Kukopa pia ni economic tool yaani ni lazima kukopa
Mkuu Kafulila katolea mfano wa Vietnam ili kuonyesha na kuhalalisha kuwa kukopa sio jambo baya au geni.
===
David Kafulila, Mkurugenzi PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya,
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia nzima kwa sasa.
Kafulila anatufumbua macho kwamba nchi zote kubwa duniani tunazoziona zikimea zinajengwa kwa mikopo kwa wastani wa 97%
David anasema, wakati uchumi wa dunia umefikia US$ 105trilion, Deni lote la dunia ( serikali & private ) ni US$315trilion
Kwa lugha nyepesi,deni la serikali zote duniani limefikia US$ 97trilion sawa na 97% ya uchumi wa dunia,
Kafulila anasema deni lote la dunia kwa ujumla ni US$ 315 Trilioni zaidi ya 300% ya GDP ya dunia.
Vietnam ni nchi ya mfano duniani kwa muujiza wa kukuza uchumi ndani ya muda mfupi,
Mwaka 1990, uchumi wa Vietnam ulikuwa US$ 6.4bilion, mbele kidogo ya Tanzania iliyokuwa na US$ 4.5bilioni na nyuma ya Kenya iliyokuwa na US$ 8.4bilioni,
Lakini Leo miaka 30 baadae, uchumi wa Vietnam ni US$ 400bilion, karibu mara nne ya Kenya na mara tano ya Tanzania.
Hata hivyo, Mwaka 2007, wakati uchumi wa Vietnam ukiwa US$77bilion, sawa na Tanzania leo,
Mwaka huohuo wa 2007 uwiano wa deni kwa uchumi ulikuwa asilimia 43% karibu sawa na uwiano wa deni kwa uchumi wetu Tanzania.
Kukopa kujenga uchumi ndio njia na ndio Afya yenyewe ya nchi anasema David Kafulila.
View attachment 3011554
Naona kajianzishia thread, kaiscreenshot post yake kisha kaamua aje aondike huku.. Reply yako hii nilitegemea angeireply ila Mjanja hajareply hata mimi naungana na maneno yako kafulila yupo vizuri sana ana ujasiri wa kujenga hoja hata akiwa mbele ya media anajua kufanya uchambuzi n.kHuyu Kafulila ndo amebaki mwana propaganda mashuhuri na mficha madhaifu ya serikali kuliko hata viongozi wa chama na serikali.
Huyu anawafaa CCM mkimpeleka ikulu awe msemaji wa serikali
Tafuta change rate ya Italian lire! / sometime hayo huwa hayana msingi wowote!Shilingi inaporomoka ķwa kiwango cha KUTISHA
Kwann wa Tz wanaogopa sana kukopa ?Hakuna namna yoyote ya kutengeneza uchumi pasipo kukopa? Yaani lazima tukope ndio mambo yaende sawa?
Tanzania ndiyo nchi yenye deni dogo zaidi! Hatupo kwenye hatari yoyote!mama akizid kumsikiliza huyu mtu tunatumbukia kwenye madeni makubwa