kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Leta ripoti moja tuu ya ufanisiUpuuzi wa 970bl?
Au sijakuelewa
2mbili huyoNaona Kafulila kaamua kuwapiga spana machadema balaa
Jamaa anajua kujenga hoja but Kilimo ndio kitu pekee kitainua uchumi wetu kwa ghafla2mbili huyo
Hamna kitu sisi wakulima tunajua hayo hizo kelele za mitandaoni tu danganyaneni wenyeweJamaa anajua kujenga hoja but Kilimo ndio kitu pekee kitainua uchumi wetu kwa ghafla
Sasa wewe unajifananisha na Kafulila?Machawa wote pro max nchi hii wanatokea Kigoma,Mwajaku,Babalevo,Kafulila
Hivi huu mkoa una nini jamani?
Wewe unalima wapi?Hamna kitu sisi wakulima tunajua hayo hizo kelele za mitandaoni tu danganyaneni wenyewe
Serikali inaweza kudanganya?Hiyo budget inapatikamna yote? Isijekua ni figurs tu
Haidanganyi lakini wanashindwa kulipa budget yote. Fuatilia.Serikali inaweza kudanganya?
Mkuu kama unamfano wowote tupatie.Haidanganyi lakini wanashindwa kulipa budget yote. Fuatilia.
Sahivi mahindi ni elfu 30 kwa guniaHamna hoja hapo,Kuna kihoja... Wakulima njaa kali watu mnashabikia upuuzi wakisiasa.
Hata Mimi pia huwa siamini wewe kama unaakili timamu,Huwa siamini kama Kafulila kama ana akili timamu
Hapo anaongea huku amekunja posho nonoMuwe mkitumia akili kidooogo ujinga wenu unachefua na kuirudisha nchi nyuma!!
pesa zakwenye karatasi sio sawa na zinazopelekwa kwenye sekta husika kama ilivyokusudiwa/ilivyotamkwa!!
Huyo aliyeachwa na mke Kwa ujuaji na uongo anapalilia ajira yake mshahara uendelee kutiririka alizoea mabilioni ya ubunge ghafla akayakosa sahivi ni kufaidi serikalini kujiajori hawezi ni lijimshahara laserkali pamoja na marupurupu kibao kwakodi zetu walalahoi!!
Wewe zuzu unaushabikia tuu...Mijinga nimingi sana hii nchi!
Muulize mumeo anajuaHata Mimi pia huwa siamini wewe kama unaakili timamu,
ShambaniWewe unalima wapi?
Ndio maana nasema wewe unashida ya akili?Muulize mumeo anajua
Yes, Wilaya gani au kata gani?Shambani
Wanapiga siasa tu, hakuna mpango mkakati wala nia yoyote ya dhati ya kuleta mapinduzi katika sekta ya kilimo. Mpango wa kilimo kwanza ulikuwa umeandaliwa vizuri sana, kilichokuja kutokea kilituacha sisi wadau na mshangao mkubwa. Siku wanasiasa wakiwa na nia ya dhati ya kuibadilisha nchi hii, ndio siku tutaona ni kwa kiasi gani tulilala.Kwenye hili kama ni kweli Wacha tumpongeze Mama
Kilimo Tanzania kinadharaulika sana
Nakumbuka wakati nasoma shule ya msingi walimu walikuwa wanaswali eti what is your father's occupation
Sisi watoto wa wakulima tuliona kama hili swali lilituonea sana tukijibu he is a farmer.