Kafulila: Watanzania zaidi ya mil 40 ni Wakulima mil 28 kati yao ni Wanawake tunapunguza Umasikini kwa nchi yetu kuwekeza zaidi kwenye Sekta ya kilimo

Tomboka malamu
 
Kilimo kikipendwa tu Tanzania tutainuka sana kiuchumi
 
Na tumefeli kwelikweli mkuu, yaani ni sekta ambayo ingeweza kuboresha maisha ya wananchi wengi walio wakulima. Mpaka leo bado tunalima kwa kutumia zana na mbinu kama alizotumia Nuhu baada ya gharika.
Tunahitaji mabadiliko
 
Tunahitaji mabadiliko
Mabadiliko huja pale waliokabidhiwa wajibu wao wakatimiza wajibu wao. Kwa nia ya dhati na uchungu mkubwa, kwa kuacha ubinafsi na ubadhilifu uliopitiliza, kwa kuacha dharau na kejeli. CCM hawana hiyo nia na hawajawahi kuwa nayo
 
Mimi siwezi kumsikiliza au kusoma Uzi wa 2 mbili na comment tu.najua huyu ana advanced diploma ya uchawa.
 
Mabadiliko huja pale waliokabidhiwa wajibu wao wakatimiza wajibu wao. Kwa nia ya dhati na uchungu mkubwa, kwa kuacha ubinafsi na ubadhilifu uliopitiliza, kwa kuacha dharau na kejeli. CCM hawana hiyo nia na hawajawahi kuwa nayo
CCM ni kubwa acha ku-capitalize tabia za individual kwa CCM yote
 
Kafulila arudishwe tena kwenye madaraka anaweza kufa, sio kwa mapambio hayo.

Hata hiyo 2025 uchaguzi ni kupotezeana muda, na Wala sio kwa ubora wa rais, Bali Tanzania hakuna uchaguzi, ila Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
ukiskiaga mambo mazuri unaumiaga hadi huruma kamanda dah, pole 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…