Kafulila: Watanzania zaidi ya mil 40 ni Wakulima mil 28 kati yao ni Wanawake tunapunguza Umasikini kwa nchi yetu kuwekeza zaidi kwenye Sekta ya kilimo

umepanic right?🐒
 
Na watoto nao ni wakulima maana zaidi ya 46 % ya watanzania ni watoto chini ya 18
 
Ni wakulima 28m au ni watu 28m wanaoishi mashambani wakifanya kilimo Cha kujikimu? Ufafanuzi tafadhali.
 
Mwamba sana huyu jamaa
 
Aache hizo kazi za kupiga porojo
Akalime sasa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…