Kafulila: Watanzania zaidi ya mil 40 ni Wakulima mil 28 kati yao ni Wanawake tunapunguza Umasikini kwa nchi yetu kuwekeza zaidi kwenye Sekta ya kilimo

Mambo ni mengi sana huyu Mwamba wa Uvinza anastahili pongezi sana
 
Wanawake wapewe maua yao
 
expand...
Pamoja na kazi nzuri anayoifanya David Kafulila bado Watanzania wanahitaji kupewa Elimu ya kutosha juu ya mambo mazuri kama haya ,

Shida ya Watanzania ni Taarifa tu ndio hawana ndio maana unaweza ukadhani ni wakorofi kumbe hapana

Watu wengi tunaioenda sana CCM.
 
expand...
Hongera sana ndg yangu Kafulila naona nia yako ni njema Mungu akupe tarajio la moyo wako,

Hakika unanisaidia CCM na Rais Samia na Serikali,

Unajibu hoja kwaakili na kwa staha sana,

Hakika Umebarikiwa sana ndg yangu.

Nafuatilia maandiko yako yote hata usiku huu,

#Ubarikiwe, Ubarikiwe Ubarikiwe X7
 
Kilimo ndio Kila kitu aisee
 
Vizuri sana Kafulila
 
Nakubaliana na mchango ila Kafulila anmende Bungeni atakuwa Bora sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…