Hector Cooper
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 696
- 1,036
Yule alivyoenda ccm tu uwezo wake wa kujenga hoja umeshuka kwa kasi sana ila jamaa ni kichwa sana ila Ccm inaharibu sana watu kwakweli.Sio msemaji wa PPP ila anamtapeli Mama Abdul na uwezo wale ni mdogo sana. Nilimuona anahojiwa UTV siku moja. Jamaa ni empty set kabisa.
Kafulila ni yule yuleYule alivyoenda ccm tu uwezo wake wa kujenga hoja umeshuka kwa kasi sana ila jamaa ni kichwa sana ila Ccm inaharibu sana watu kwakweli.
Umenikumbusha siku ile Tundu Lisu anamhenyesha Balile!Huo uwezo wa kuongea hoja na mimi kwa vitu anavyoongea hana.
Yaani hana uwezo huo
Ujinga mtupu, dakika mbili tu namuonyesha ujinga wake
Bingwa wa kupika takwimu ndugu kafulila anataka kumzidi mwijage na viwanda vyake 4k mwaka mmoja wa magu, pia anataka amzidi jafo na viwanda 30k awamu ya mama.Hili nimeliona na kuna watu Lumumba wanazungumza.kuwa dogo sasa anaropoka sana. Yeye anataka kuwa Katibu wa Chama kwa maoni ya watu wengi.
Ameanza kukera baadhi ya watu kuwa ana jikomba mpaka anajikomboleza.mwishoni atabakia hana kitu. Wataalamu wanasema pengine ni ushamba na pia kuchanganyikiwa. Alikaa sana juu ya mawe sasa kuja pewa kitengo ni jambo ambalo limemchanganya.
Kwa hali anayoenda nayo wataalamu wanasema siku zijazo atakosa la kuzungumza na watu wata play audio au videos zake kumkumbusha alivyokuwa aki rorojoka. Wanasema aweke akiba ya maneno asiseme akamaliza.
Naona wapinzani kama wameamua kumwacha ili asipate attention na hili ni jambo linaomuumiza sababu anatamani sana apate nafasi ya kupambana aoneshe yeye ni CCM kweli kweli kuliko CCM wenyewe. Sasa wao wanamwacha anaongea peke yake hawamgusi. Hili linamfanya ajaribu kuomba hata midahalo. Wanamwambia yeye hana cheo cha kujadiliana nao. Anaumia.
Inasikitisha sana π π π π , na wasipoangalia watamaliza nafasi tatu za mwishoNi jambo la kutafakari sana kuona Aston Villa ikicheza robo fainali za UEFA wakati Man United haijawahi kushiriki hata kwenye hatua ya mtoano tangu kuondoka kwa Sir Alex Ferguson
Mimi hapaNani sio chawa?
Sasa mbona wewe huna audacity ya kuweka hoja yake ambayo upo tayari kuitetea nikuonyeshe mimi sio size yako.Huna audacity ya kumzungumzia Kafulila
Kafulila ajibiwe kwa hojaSasa mbona wewe huna audacity ya kuweka hoja yake ambayo upo tayari kuitetea nikuonyeshe mimi sio size yako.
Najiamini hivyo.
Hebu tuwe wakweli,Ndo shida ya kuteua Wanasiasa kuongoza masuala ya Utendaji. Lazima apoteze credibility mapema sana.
Ye amekalia kuongea tu. Maneno meeengi, kusifu kwiiingi vitendo sifuri.
Huyo ni mjinga kama wajinga wengine tu!
Ajibiwe kwa hoja ya kutoka mbinguni, maana wewe umeshindwa leta yake hata moja ya kuitetea.Kafulila ajibiwe kwa hoja
Kafulila maandiko yanayomuhusu ni mengi nenda kachangie hukoAjibiwe kwa hoja ya kutoka mbinguni, maana wewe umeshindwa leta yake hata moja ya kuitetea.
Pamoja na kukwambia with confidence lete hoja yake moja nikuonye alivyo mpumbavu, ili utete; umeshindwa (coward).
Maneno mingi ujinga mtupu
π€²
Elezea faida ya return za kila mradi kwa serikali.Hebu tuwe wakweli,
Nani aliifahamu PPP kabla ya Kafulila?
PPP ya Kafulila na DP World,
PPP ya Kafulila na Adan Gate 2
PPP ya Kafulila na Kariakoo complex kubwa kuliko Mlimanii City,
PPP ya Kafulila na Jengo kubwa kuliko yote la Ubungo Stendi ya Zamani Complex
PPP ya Kafulila na Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo,
PPP ya Kafulila na Ujenzi wa barabara kutoka Tanga hadi Singida km 340.
PPP ya Kafulila na Toll Roads Dar mpaka Dodoma,
Wewe unasemaje Kafulila matendo ni sifuri?
Lini PPP ilijadiliwa kama Sasa kwa Kafulila?
Tuanze na hayo uliyoweka kwenye post no#90Kafulila maandiko yanayomuhusu ni mengi nenda kachangie huko
Kwanini wewe usieleze?Elezea faida ya return za kila mradi kwa serikali.
Kujiuzulu kwa Jaji Werema (RIP) yalikuwa ni makinikia; alitumikaHili nimeliona na kuna watu Lumumba wanazungumza.kuwa dogo sasa anaropoka sana. Yeye anataka kuwa Katibu wa Chama kwa maoni ya watu wengi.
Ameanza kukera baadhi ya watu kuwa ana jikomba mpaka anajikomboleza.mwishoni atabakia hana kitu. Wataalamu wanasema pengine ni ushamba na pia kuchanganyikiwa. Alikaa sana juu ya mawe sasa kuja pewa kitengo ni jambo ambalo limemchanganya.
Kwa hali anayoenda nayo wataalamu wanasema siku zijazo atakosa la kuzungumza na watu wata play audio au videos zake kumkumbusha alivyokuwa aki rorojoka. Wanasema aweke akiba ya maneno asiseme akamaliza.
Naona wapinzani kama wameamua kumwacha ili asipate attention na hili ni jambo linaomuumiza sababu anatamani sana apate nafasi ya kupambana aoneshe yeye ni CCM kweli kweli kuliko CCM wenyewe. Sasa wao wanamwacha anaongea peke yake hawamgusi. Hili linamfanya ajaribu kuomba hata midahalo. Wanamwambia yeye hana cheo cha kujadiliana nao. Anaumia.
Sawa nitakupa majibu.Kwanini wewe usieleze?
Mimi nimetoa baadhi ya miradi ya PPP ambayo wewe umesema hakuna
Ulivyolitumia hilo neno audacity hapo nathubutu kusema hilo neno hujui maana yake kabisaaa! Umetokea tu kulikariri na huna habari kama ni Kinyantuzu au Kidengereko, pole sana mkuu!Huna audacity ya kumzungumzia Kafulila
Kwahiyo kafulila amerithi nyendo za magufuri πππππHakuna siku Kafulila kazungumza bila namba tangu lini namba ilidanganya?
Na unapomjibu lazima uzingatie kabisa Kuna Sheria ya takwimu nadhani shida ndio inaanzia hapa namna ya kumjibu,
Jesca ni demu wa kiswaswadu au sioKiswaswadu anajila Jesca kwa raha zake kudadeq mke anauma wewe.