Kafulila watu wameanza kumdharau wamegundua anapitiliza

CHADEMA bado hawajasema
 
Sidhani kama watu wameanza kumdharau.

Lakini nina hakika amekuwa akitoa baadhi ya data zisizo na uhalisia.
Pia programu zake za PPP hazijaonyesha tija ya maana.

Kama ingekuwa ni biashara tunaweza kusema haija-break even (haijatoa faida) tangu ianzishwe taasisi hiyo.
 
Wewe hebu, jitafakari vizuri,

Hoja za Kafulila ni nani mwingine anaweza kuzijibu?

Kafulila wewe sio saizi yako.

Tafuta wa saizi yako Kafulila acha achape kazi.
Hivi hoja zipi unazosema ambazo hakuna wa kuzijibu?
 
Wewe hizo data fake kwanini usizipinge kwa data pure?

Kabla ya Kafulila uliwahi kusikia neno PPP Tanzània?

Unasemaje Kafulila hajafanya chochote wakati hata mwaka hajamaliza?

Leo kila mtu anajadili PPP hapa nchini huoni kama haya ni Mafanikio?

Kafulila usirudi nyuma kazi zako watu wengi tunazithamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…