MESTOD
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 4,798
- 2,006
Mbu my dia wakati naandika hii thread nilikua nasikia huyo mkaka ana hali mbaya, kwa sababu nilisikia upande wa kaka tu watu wakaanza kuniuliza kuhusu mdada mwizi ikabidi nimuulize alieniambia ndio akaniambia anaelekea msibani kwani mkaka ashafariki. Amekufa mchana huu
Oooh Mungu wangu. Bwana kama wewe ungetazama makosa yetu nani angesimama mbele yako? Sasa huyo mama kapata nini?