Kagame anajisifia kufunga makanisa na misikiti: Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu!

Kagame anajisifia kufunga makanisa na misikiti: Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu!

Kabisa ni nini?

Hakuna mwanadamu anayekula ugali na kwenda chooni mwenye uwezo wa kufunga kanisa LA Mungu.

Nero na ubabe wake wote alishindwa kufunga kanisa.

Kagame amezuia mikusanyiko ya kihuni na kipigaji.
Mungu hana kanisa mkuu, tusimsingizie kabisa
 
Anglican, Lutheran, Catholic, Wapentekoste n.k sio kipimo cha Ukristo.
Hatutaki udikteta wa aina yoyote nchini kwetu. Kila mtu aabudu anachoona kinamfaa ili mradi hamdhuru mtu au kuvunja sheria za nchi.
Acheni upumbavu wa kushangalia udikteta kama mazuzu.
Wewe ndio chizi kabisaa huna akili nzuri ushachanganyikiwa kwa mafuta ya upako umewahi sikia wapi anglikana , lutheran , assemblies of God na katoliki wanamafuta ya upako.
Na hao wote wamesoma miaka minne , mapadri na wachungaji wote wanasomea kulifahamu neno la Mungu nakulitakasa na wanasimikwa ni ibada kabisa kwao.
 
Anglican, Lutheran, Catholic, Wapentekoste n.k sio kipimo cha Ukristo.
Hatutaki udikteta wa aina yoyote nchini kwetu. Kila mtu aabudu anachoona kinamfaa ili mradi hamdhuru mtu au kuvunja sheria za nchi.
Acheni upumbavu wa kushangalia udikteta kama mazuzu.
Zuzu hatuwezi kuweka makanisa ambayo hayaheshimu mahali patakatifu 1. Mtu anamwita mtu mimbarani anamjambia eti ni upako.
Anavaa viatu vya kike akihubiri anapulizia dawa ya mbu eti niupako ana mpapasa wadada maziwa na sehemu za siri eti anaponya wewe msituchoshe tusichoshane yafungiwe eti mafuta ya upako wewe funga kabisa hayo makitu hat gwajima afungiwe tu abaki awe mbunge tu
 
Back
Top Bottom