Ha ha ha ha haHawajakatazwa kurudi, wanaogopa wenyewe kawani wengi waowanajua walivyoshiriki kwenye genocide. Waende tu watapokelewa.
Unamuonea huyo Kagame....Kwa nini Kagame anataka M23 Banyamulenge watambuliwe DRC?
Sababu za nje; Kagame anasema hao raia kwao ni DRC. Hapo anaona ardhi ya Rwanda ni ndogo, hivyo DRC inaposema warudi Rwanda, Kagame anaona hatari ya over population.
Sababu za ndani anazijua mwenyewe Kagame
Kagame yupo sawa kuwatetea na kuwapa silaha Banyamulenge mana asipofanya hivyo watalazimishwa kurudi Rwanda ambako ardhi ni ndogo na wameishakuwa wengi.Unamuonea huyo Kagame....
M 23 ni wakongomani....wako Kongo toka baada ya kuisha vita vya pili vya dunia (1939-1945)...waliendelea kuhamia huko mpaka mwanzoni mwaka miaka ya 1960....hao ni raia wa DRC....
Mauaji ya kimbari na kuingia madarakani Kagame hakuhusiani na BANYARWANDA-BANYAMULENGE(M 23).
Think thrice
Mkuu unachanganya mambo....Kagame yupo sawa kuwatetea na kuwapa silaha Banyamulenge mana asipofanya hivyo watalazimishwa kurudi Rwanda ambako ardhi ni ndogo na wameishakuwa wengi.
Namanisha hivi. M23 wanapigania maslahi ya raia wa jamii ya Kitusi ambao wanasema wanatengwa na serikali ya DRC huko Mashariki. DRC wao wanasema hao ni raia wa Rwanda hivyo warudi kwao.Mkuu unachanganya mambo....
M 23 ni wakongomani na ni waasi....unawarudisha wapi ?!!
Muasi anahukumiwa kwa sheria za nchi yake....Rwanda si nchi yao hao M 23......
Una hoja mkuu....Namanisha hivi. M23 wanapigania maslahi ya raia wa jamii ya Kitusi ambao wanasema wanatengwa na serikali ya DRC huko Mashariki. DRC wao wanasema hao ni raia wa Rwanda hivyo warudi kwao.
Rwanda ni nchi ndogo. Hivyo, Kagame anawasapoti M23 dhidi ya serikali ya DRC mana wakiwa dhaifu tayari wale Watusi wa DRC watanyanyasika na kufurushwa kurudi Rwanda ambako ardhi ni ndogo kitu ambacho Kagame hataki kitokee.
Lakini pia, kwakuwa wanaingiliana na Rwanda, inawezekana Kagame ananufaika nao hao Banyamulenge katika madini.
Kagame hajawahi kuwazuia FDLR kurudi nyumbani, na millions walisharudi na hata wale waliofanya genocide na wengi walihukumiwa na wameshamaliza vifungo vyao wako uraiani, fanya research kabla ya kutoa taarifa zisizo na ukweliMoja ya utetezi aliokuja nao Rais Kagame kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za SADC na EAC kuhusu kutatua mgogoro wa DRC ni kutaka serikali ya DRC iwatambue kwanza waasi wa M23 ambao wanajumuisha jamii ya walowezi wa kitutsi iliyopo DRC (Banyamlenge), lakini hapo hapo Kagame hataki kabisa kutaka kusikia suala la waasi wa kihutu waliokimbilia DRC nao kutambuliwa kama sehemu ya jamii ya Rwanda yenye haki ya kuongoza na kutawala Rwanda.
Kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu!
Stick your head in the sandKagame kafikia mwisho wa utawala wake... Siku yoyote mtasikia limemkuta jambo... Na mwisho wake unasubiriwa kwa hamu na wanyarwanda kuliko tunavyo fikiri...
Kagame is no longer capable to lead Rwanda
Yes coz he's no longer sucking RwandeseStick your head in the sand
Cc jumbe brownHa ha ha ha ha
Kesi ya jinai HAIFI.....
Waanze na yeyelakini hapo hapo Kagame hataki kabisa kutaka kusikia suala la waasi wa kihutu waliokimbilia DRC nao kutambuliwa kama sehemu ya jamii ya Rwanda yenye haki ya kuongoza na kutawala Rwanda.
Walitumia lugha ganiHivi mchango/maoni ya "Mama" na PM wa DRC kwenye hicho kikao ni yapi? Sijaona yakinukuliwa popote.
Mkuu bado unagusa juu juu tu kuhusu chanzo cha hao Intarahamwe (FDRL) kufanya mauaji ya halaiki.Siungi mkono uwepo wa MAJESHI ya kigeni yasiyoalikwa katika ardhi ya kigeni.....
Ila ......
M 23 haifanani na FDRL.....
FDRL ni wanyarwanda wanaotuhumiwa kufanya mauaji ya kimbari 1994.....
M 23 ni wakongomani wenye asili ya Kitutsi wanaodai kuwa serikali ya DRC inawabagua raia wake (Banyamulenge)....hawa siku nyingi wako DRC kabla ya "1994 Genocide".....
#Tanzania Kwanza!
Hakika!
Sio kweli, Kagame ndiye hataki kuwasikia.FDLR hawataki kurudi Rwanda
Mkuu hiyo ni shida ya Kongo na utaratibu wao.Wakimbizi wa kihutu hawaishi katika makambi ya wakimbizi....wakimbizi gani wana silaha na armoured machineries?!!!
Watanzania tungekubali wakimbizi wa kirundi wawe na silaha za kivita na kurandaranda katika ardhi yetu?!!
Mkuu unachanganya mada.Hata ingekuwa wewe ungewafurahia watu wanaotaka KUIKOMBOA RWANDA huku wakiwa na misimamo ya chuki za kikabila?!!