Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda Waisrael

Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda Waisrael

Umeandika ujinga kijana. Nyinyi mmekuwa mkiisifu Israel kuwa ina nguvu, huku mkificha ukweli uliokiri hapa kuwa nguvu hizo zinasababishwa na usaidizi wa wazungu.

Sasa kilichofanyika siku kadhaa zilizopita, ndo kimeashiria kuwa Israel haiwezi kupambana yenyewe na Iran bila kusaidiwa. Halaf inawezekana vipi wazungu walinde himaya yao. Himaya ya wazungu ipo Ulaya na sio Mashariki ya kati.

Tumia akili, badala ya tundu kufikiri.
Kama sikosei azimio la UN la mataifa mawili lilipitishwa 1947. Mwaka 1948 Israel ilitambuliwa kama taifa na mwingereza akaondoka. Mwaka huo huo waarabu wakapigana na wayahudi na wayahudi wakashinda na kujiongezea maeneo. Swali la kujiuliza, nguvu ya waisrael kushinda waliitoa wapi? Ndiyo maana nimekwambia huwezi kuwatenganisha hawa watu kama wewe ulivyosema. KWA HABARI YA MATUSI, HILO USIJALI MAANA KINYWA CHA MTU HUYANENA YAUJAZAYO MOYO. JITAHI UACHE UTUKANAJI MAANA UTAKUPELEKA JEHANAM.
 
Naona huna unachojua kuhusu Israel na histori yake! Kwanza Iran inategemea kwa kiwango kikubwa Tekonology ya Warusi kijeshi.
Kusema Iran inategemea Urusi bila kuweka ushahidi, ni kujaribu kuniletea maneno ya kwenye kanga mtu mzima mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri zaidi yako.

Dunia nzima ukiwemo wewe mwenyewe unajua kuwa Iran ndo iliyoisaidia Russia silaha ya ndege zisizokuwa na ruban ili Russia iichape Vizuri Ukraine, na mpaka raisi wa Ukraine akishirikiana na viongozi wa magharibi kulalamika kwenye UN kuwa Iran iongezewe vikwazo kwa kuisaidia Russia silaha.

Hii ndo habari ambayo dunia inaifahamu, hiyo ya kwako ni ya kusadikika tu na mara nyingi hutumiwa na vilaza wasiokuwa na uwezo wala maarifa ya kufuatilia mambo yanayoendelea duniani.

Historia ya Israel inayojulikana na kila mtu, hata hao mabwana zao wenyewe wanakiri ni ile ya..

1. kufanywa wanyonge na watumwa wa wamisri wakiongozwa na Firauni.

2. kutawaliwa na Persia Empire (ambayo ndio Iran ya leo) miaka 3000 iliyopita, kabla hata ya kuzaliwa Yesu.
3.
kutawaliwa na Roma Empire na kufanywa watumwa wa wakoloni wao wa Roma.

4. Kutawaliwa tena, na kufanywa watumwa na utawala wa Ottoman Empire, hadi baadhi yao wakakimbilia Ulaya kuomba hifadhi na msaada wa kuishi huko kama wakimbizi.

5. Kuuchakazwa na kuuliwa na utawala wa Hitler, hadi ulimwengu ukapiga kelele na kuingilia kuwasaidia.

Historia inayoonesha kuwa Israel ni taifa dhaifu na la hovyo ni nyingi, ila kwa vile wewe haujui chochote kuhusu historia yao, nimekupa hizo tu kwanza ziku fit kichwani kwako.
 
We ni mpumbavu Waheed!! Yaani kagame aizidi Israel ?. Ndio maana CCM inaitwala Tz zaidi ya miaka 60 Sasa.
 
Kama hujui Russia ndiye aliyepeleka Iran teknolojia ya kutengeneza drones! Kazi ya Iran ni kuzalisha hizo drones na kuipeleka Russia.
 
Vipi na Netanyahu anaeuwa maelfu ya watoto na kina mama, yeye utatoa ngapi kwa kifo chake na utawala wake?
Wote hiyo hiyo sijawahi fagilia muuaji yeyote , mimi ni mkristo linapokuja swala la Israel na Iran mimi nabaki upande wa Iran na ktk ile mi 5 kwa Neta paka wa israel ili ujue naye atapita ni pigo dogo alilopigwa na muajemi huku akiwa ameambiwa lakini alialika mataifa kibao kumsaidia kwa bullions of money na mpk leo hajarusha hata jiwe Téhéran " karma"
 
Mkuu unavutaga ya hapa bongo au we mzee wa high grade?
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Kama umeliona hili unahisi ni nini kifanyike kuiepusha machafuko kutokea tena?

Chukulia wewe kama mpatanishi wa na balozi wa amani katika eneo la maziwa makuu ni kipi utafanya kuepusha huo mzozo ambao unatazamiwa kutokea?

Ni kweli kwamba wahutu ni karibia 80% na watusi ni 20%, lalamiko lako la wahutu kunyimwa nafasi katika uongozi, huoni kuwa kama itatokea hivyo pengine ikawa ndio sababu ya fdlr kujipenyeza na kutekeleza walichokifanya mwaka 1994?

Naomba ujibu bila kufuata ushabiki. Na ujibu kama problem solver and avoid to be more of the judgemental because it is the sign of low capac
 
Hakuna sehemu iliyotajwa dini. Afrika Kusini asilimia 99 ni wakristo wa madhehebu mbali mbali akiwemo hayati Desmond Tutu. Lakini wanaichukia Israel kwa matendo yake machafu zaidi ya wewe unavyowachukia waislam.
Huyo yupo tiari kumpa tigo mwisrael ili abarikiwe ..walokole wanashida sana
 
Wewe ni bado mtoto usiye hata na idea kuhusu mambo madogo madogo kabisa halaf unakimbilia kuongea big stuffs na unataka wenye akili tukusikilize.

Rwanda hakuna kabila linaitwa Wahutu wala Watusi wala Watwa.
Hizi ni ethinic groups in the same single tribe called Banyarwanda.

Hakuna lugha ya Kihutu wala hakuna lugha ya kitutsi wala Kitwa. Kuna lugha moja tu ya kinyarwanda.
KUmbuka kabila linakua linatambukishwa na Lugha. Hii ndio identity ya kabila lolote ili uweze kulitofautisha na kabila jingine.

Hizi ethnic groups (Hutu, Tutsi & Twa) ki historia na kitamaduni zilitofautishwa si kwa lugha (maana wote wanaongea kinyarwanda) bali kwa shughulli zao ambazo ni tofauti baina yao.

Kilimo
Ufungaji
Uhunzi (Twa group)

Wenye akil huwa tunaathirika na mambo ya msingi kama haya yanapopuuzwa, utatuaminishaje mambo makubwa kama madogo huyajui.

GO back and study your history.
 
We ni mpumbavu Waheed!! Yaani kagame aizidi Israel ?. Ndio maana CCM inaitwala Tz zaidi ya miaka 60 Sasa.
Naona najichosha bure kumuelewesha mtu ambae kichwa chake kimejaa kamasi.

Kagame anapambana na maadui zake kwa kutumia jeshi lake na silaha zake, Netanyahu anapambana na maadui zake huku akishirikiana na jeshi la mabwana zake na silaha wanazotumia nyingi anapewa bure na hao hao mabwana zake.

Sasa utafananishaje mtu anaeenda mapambanoni mwenyewe, na yule anaeenda mapambanoni na mabwana zake Marekani, Uingereza, Ujerumani nk.

Kitu ambacho waisrael wanaishinda Rwanda ni kumiliki vyombo vya propaganda wakisaidiwa na nchi za magharibi kuidanganya dunia kuhusu Israel, ila kiuhalisia ni wachumba tu wasioweza kuingia vitani bila kulia lia ili waonewe huruma na kupewa silaha za kupambania.
 
Ni kweli hatupendi uonevu wa Israel kwa Palestina- ingawa Palestina nao vichwa ngumu - Lkn kuilinganisha Israel na Rwanda inaonesha jinsi ulivyochanganyikwa na hujui ulisemalo..Rwanda walinganishe na Burundi na Jamuhuri ya Afrika ya kati huko na nchi kama hizo...
 
Naona najichosha bure kumuelewesha mtu ambae kichwa chake kimejaa kamasi.

Kagame anapambana na maadui zake kwa kutumia jeshi lake na silaha zake, Netanyahu anapambana na maadui zake huku akishirikiana na jeshi la mabwana zake na silaha wanazotumia nyingi anapewa bure na hao hao mabwana zake.

Sasa utafananishaje mtu anaeenda mapambanoni mwenyewe, na yule anaeenda mapambanoni na mabwana zake Marekani, Uingereza, Ujerumani nk.

Kitu ambacho waisrael wanaishinda Rwanda ni kumiliki vyombo vya propaganda wakisaidiwa na nchi za magharibi kuidanganya dunia kuhusu Israel, ila kiuhalisia ni wachumba tu wasioweza kuingia vitani bila kulia lia ili waonewe huruma na kupewa silaha za kupambania.
Et Kagame anapambana na Silaha zake, weeee jamaaa!!! Rwanda wanatengeneza silaha gani kwani??Rwanda hawa wanaoiba madini ya Congo na kuuza wakanunue silaha ndo unawasifia???Rwanda wanazalisha nini kuanzia services hadi products???
 
Kama sikosei azimio la UN la mataifa mawili lilipitishwa 1947. Mwaka 1948 Israel ilitambuliwa kama taifa na mwingereza akaondoka. Mwaka huo huo waarabu wakapigana na wayahudi na wayahudi wakashinda na kujiongezea maeneo. Swali la kujiuliza, nguvu ya waisrael kushinda waliitoa wapi? Ndiyo maana nimekwambia huwezi kuwatenganisha hawa watu kama wewe ulivyosema. KWA HABARI YA MATUSI, HILO USIJALI MAANA KINYWA CHA MTU HUYANENA YAUJAZAYO MOYO. JITAHI UACHE UTUKANAJI MAANA UTAKUPELEKA JEHANAM.
1. Kwanza neno ujinga sio tusi, hata mwl Nyerere alikuwa analitumia.

2. Pili hiyo habari waarab kupigwa na Israel ilitokea kipindi ambacho wewe na mimi hatukuwepo, plus taarifa hizi mara nyingi huzungumzia na vyombo vyao wenyewe vya propaganda hivyo hata wakikudanganya hakuna wa kuwazuia. Maana hiyo ya mwaka 1948, tulihadithiwa tu, lakini hii ya juzi tumeiona na tumeshuhudia jinsi nchi hiyo na Marekani yao zilivyokuwa dhaifu hadi kuruhusu makombora kupenya ngome zao hadi yakafika Israel. Hii habari ingekuwa ya mwaka 1948 kabla ya ujio wa sim wala mitandao, basi ingegeuzwa, tungeambiwa makombora ya Iran yalizuiliwa yote kabla ya kufika Israel, lakini kwa sababu dunia ya sasa teknolojia imeeenea kila sehemu basi inakuwa ngumu kuuidanganya dunia yote, ndomaana wakaona wakubali tu kutangaza kishingo upande kuwa makombora ya Iran yalifika Israel licha ya juhudi kubwa za zaidi ya nchi 8 ikiwemo Israel yenyewe kujaribu kuzuia.

3. Nchi za kiarabu nyingi au naweza kusema kuwa zote ni weak ndo maana zina kontroliwa na Marekani, hazijiwezi kisilaha wala kijeshi. Saudi Arabia mpaka leo hata viatu vya jeshi inaagiza kutoka Marekani. Wao wamewekeza zaidi katika kula ubwabwa na tende, huku mipaka yao wakiwaachia wamarekani ndo wailinde. Hivyo kupigwa au kutokupigwa huo ni uzembe wao kwa kushindwa kujisimamia.

Kitu ambacho inaonekana wewe haukijui japo unajifanya mfuatiliaji wa historia tory ni hiki..

1. Haujui historia vizuri ya Iran, wewe umelishwa matango pori ya upande mmoja, ukameza na kujiona ushamaliza kujifunza history.

2. Mpaka leo hii unajua na kuamini kuwa wairan ni waarab kitu ambacho sio kweli. Waarab ni waarab na kamwe hawawezi kuwa waajemi, n waajemi ni waajemi na kamwe hawawezi kuwa waarab.

3. Waarab, wazungu na waisrael wote wanapambana na muajemi, kwa sababu wanaijua historia yake toka kitambo kabla hata hiyo Marekani haijaanzishwa na waingereza.
 
Si ukajiandikishe tu mujahidina upigane vita
Hayati mwl Nyerere, mtumishi wa Mungu Desmond Tutu na Mandela walikufa wakiichukia Israel zaid ya wewe uwachukiavyo mujahidina.

Mbona hukuwahi kuwapa ushauri wakajiunge na wajahidina?
 
Kama unaamini Rwanda inajitegemea bila msaada wa wazungu na hao wazungu hawana mkono kwenye mauaji ya kimbari na wako nyuma ya PK kwenye machafuko anayoendeleza nchini Kongo utakuwa una uelewa mdogo sana juu ya siasa za maziwa makuu. Kwanza huyo Kagame bila baba yake Museveni ni takataka kabisa,Makamanda waliopigana naye vita ya msituni wanamwelezea kama ni mtu mwoga na asiye na uwezo kwenye mstari wa mbele vitani, aliishi kwa kubebwa na Museveni kwa sababu alikuwa "chawa' wake.Amewaua wote waliokuwa na uwezo zaidi yake akiwemo godfather wake Major Gen Rugyema
Pole sana, bahati mbaya huna unalojua mkuu.
 
Kama umeliona hili unahisi ni nini kifanyike kuiepusha machafuko kutokea tena?

Chukulia wewe kama mpatanishi wa na balozi wa amani katika eneo la maziwa makuu ni kipi utafanya kuepusha huo mzozo ambao unatazamiwa kutokea?

Ni kweli kwamba wahutu ni karibia 80% na watusi ni 20%, lalamiko lako la wahutu kunyimwa nafasi katika uongozi, huoni kuwa kama itatokea hivyo pengine ikawa ndio sababu ya fdlr kujipenyeza na kutekeleza walichokifanya mwaka 1994?

Naomba ujibu bila kufuata ushabiki. Na ujibu kama problem solver and avoid to be more of the judgemental because it is the sign of low capacity.
Akijibu maswali yako yote, nishtue mkuu.
 
Back
Top Bottom