Naona huna unachojua kuhusu Israel na histori yake! Kwanza Iran inategemea kwa kiwango kikubwa Tekonology ya Warusi kijeshi.
Kusema Iran inategemea Urusi bila kuweka ushahidi, ni kujaribu kuniletea maneno ya kwenye kanga mtu mzima mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri zaidi yako.
Dunia nzima ukiwemo wewe mwenyewe unajua kuwa Iran ndo iliyoisaidia Russia silaha ya ndege zisizokuwa na ruban ili Russia iichape Vizuri Ukraine, na mpaka raisi wa Ukraine akishirikiana na viongozi wa magharibi kulalamika kwenye UN kuwa Iran iongezewe vikwazo kwa kuisaidia Russia silaha.
Hii ndo habari ambayo dunia inaifahamu, hiyo ya kwako ni ya kusadikika tu na mara nyingi hutumiwa na vilaza wasiokuwa na uwezo wala maarifa ya kufuatilia mambo yanayoendelea duniani.
Historia ya Israel inayojulikana na kila mtu, hata hao mabwana zao wenyewe wanakiri ni ile ya..
1. kufanywa wanyonge na watumwa wa wamisri wakiongozwa na Firauni.
2. kutawaliwa na Persia Empire (ambayo ndio Iran ya leo) miaka 3000 iliyopita, kabla hata ya kuzaliwa Yesu.
3.
kutawaliwa na Roma Empire na kufanywa watumwa wa wakoloni wao wa Roma.
4. Kutawaliwa tena, na kufanywa watumwa na utawala wa Ottoman Empire, hadi baadhi yao wakakimbilia Ulaya kuomba hifadhi na msaada wa kuishi huko kama wakimbizi.
5. Kuuchakazwa na kuuliwa na utawala wa Hitler, hadi ulimwengu ukapiga kelele na kuingilia kuwasaidia.
Historia inayoonesha kuwa Israel ni taifa dhaifu na la hovyo ni nyingi, ila kwa vile wewe haujui chochote kuhusu historia yao, nimekupa hizo tu kwanza ziku fit kichwani kwako.