Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Yaaan hii ndo tanzania shamba la bibi duuh mpira uko kwetu unaoneshwa na channel za nje
 
Dah dah dah dakika hizi tunaiona Barcelona uwanjani. Azam counter attack zao zimeenda shule sana.
 
Kama kawaida John ashaanza Maboko kapaisha yeye na goli

Hahaha,kazi kweli aisee,ali panic mazeee

Hivi hawa walionunua Haki ya kuonyesha mechi hizi,inamaana hakunaa hata Chennel yoyote ya Ndani iliyoruhusiwa kuonyesha hata Recorded?

Maana hii nchi watu hawashindwi na kitu kuna jamaa kanitumia link hapa naijaribu inagoma,anasema kuna jamaa yake yeye yupo uwanjani anatumia sim yake yenye uwezo mkubwa ipo libe na ina load kila dakika tano,ila kuna mtu anaangalia anasema ukubali maumivu,goli mtu akikosa na yeye anaruka,aisee.

Nchi hii watu wezi kweli,we ukibana huku watu wanabanua huku.Akikamtwa jela inamuita
 
Yaaan hii ndo tanzania shamba la bibi duuh mpira uko kwetu unaoneshwa na channel za nje

Malakia, au adama city au APR nitajie ni channel gani ya hapa nchini kwako zinafika huko nje ya nchi zinapotoka hizo timu? Waambie wapanue kwanza mitambo yao masafa yaongezeke ndio walete ushindani kimataifa
 
Yaaan hii ndo tanzania shamba la bibi duuh mpira uko kwetu unaoneshwa na channel za nje

Hahahah,hili ndio nilikuwa nasema mie,watu wakachukulia kigezo cha Tender kwenda Supersport.

Maana kama chama cha michezo na Nchi ipo Serious ni kwamba kwenye Mkataba mnafanya kama Kenya kwamba Supersport lazima wakubali ku link na Channel ya Taifa,kwa kenya ni KBC na imakuwa hivyo kwenye Ligi yao ya ndani inayoonyesha na Supersport ili wasio na Dstv waweze kupata through Local Channel.Kenya wameweza hilo.

Ila hapa kwetu ni kupiga pesa kisha kila mtu atatauta pa kuangalia.Ila matokeo yakiwa mabaya hawasemei hukohuko Dstv,wanakuja kwenye Local Channel,sasa mtu wa Mkoani huko anajua hata mechi iliuwaje kwenye Karne hii.


Hapa ingekuwa linked na TBC ambapo hadi vijijini wangeona mashindano haya.

Hayaaa Danny tume updateeeeeeeeeeee
 

Update utapata stewart hall kanyanyua kalio ki diamond style halafu akalipiga piga kidogo huku akisema kwa ishara kumwambia mchezaji wa KCCA Kiss My Ass
 
Update utapata stewart hall kanyanyua kalio ki diamond style halafu akalipiga piga kidogo huku akisema kwa ishara kumwambia mchezaji wa KCCA Kiss My Ass

Hahahha,huyu Kocha tatizo lake hilo,kuna siku nakumbuka aliwahi kuvua Bukta akabakia na kyupi.

Hahahah,Azam hapa wanakazi kweli kumuweka sawa huyu jamaa na hasira zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…