Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
62' Mins | AZAM 1 KCCA 0
13' Mins John Bocco (Azam)
13' Mins John Bocco (Azam)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayupo. Uwanja leo umejaa mambumbumbu walijazana wakijua singano atacheza wamzomee. Jamaa wakawashtukia.
Hayupo. Uwanja leo umejaa mambumbumbu walijazana wakijua singano atacheza wamzomee. Jamaa wakawashtukia.
Kama kawaida John ashaanza Maboko kapaisha yeye na goli
Yaaan hii ndo tanzania shamba la bibi duuh mpira uko kwetu unaoneshwa na channel za nje
Hivi yanga itacheza lini na tim gani
Yaaan hii ndo tanzania shamba la bibi duuh mpira uko kwetu unaoneshwa na channel za nje
Hahahah,hili ndio nilikuwa nasema mie,watu wakachukulia kigezo cha Tender kwenda Supersport.
Maana kama chama cha michezo na Nchi ipo Serious ni kwamba kwenye Mkataba mnafanya kama Kenya kwamba Supersport lazima wakubali ku link na Channel ya Taifa,kwa kenya ni KBC na imakuwa hivyo kwenye Ligi yao ya ndani inayoonyesha na Supersport ili wasio na Dstv waweze kupata through Local Channel.Kenya wameweza hilo.
Ila hapa kwetu ni kupiga pesa kisha kila mtu atatauta pa kuangalia.Ila matokeo yakiwa mabaya hawasemei hukohuko Dstv,wanakuja kwenye Local Channel,sasa mtu wa Mkoani huko anajua hata mechi iliuwaje kwenye Karne hii.
Hapa ingekuwa linked na TBC ambapo hadi vijijini wangeona mashindano haya.
Hayaaa Danny tume updateeeeeeeeeeee
Update utapata stewart hall kanyanyua kalio ki diamond style halafu akalipiga piga kidogo huku akisema kwa ishara kumwambia mchezaji wa KCCA Kiss My Ass
Shomary kapombe yupo chini na anatolewa nje kwa Machela