Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Haina haja ya salamu. Tunaoweza kiinglish tu ndo tutaelewa hapa. Wale wenzangu na mimi tuliokomea madrasa tu hatukufika Sekondari na Chuo... Huu uzi tutaupita kama tunaaga maiti. Kagame amesema hawa viongozi wasijifanye hawajui. Wanajua sana. Kashasema sasa na amekaa pale. 👉 Haka kajamaa kanajiamini nini lakini? Hakacheki na wowote? Kanalinda nchi yake.