joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Unazani Rwanda yupo peke yake?Wanao mpa kiburi ni EU na US,sababu ya zile Cobalt na Coltan. Hebu msikilize huyu mbunge wa Ubeligiji.![]()
Ila Congo kuna shida gani? hivi ki Rwanda kilivyo kidogo inakuwaje kinawapelekesha kiasi hiko?
View: https://m.youtube.com/watch?v=ajQhHy6U830&pp=ygUfV2hlbiB3b21hbiBiZWcgbWFuIHRvIG1hcnJ5IGhlcg%3D%3D
Wewe unazani wale Mercenaries wa juzi wapo DRC kwa maslahi ya nani?
Halafu wale Mercenaries juzi wamjisalimisha kwa M23 na kuruhusiwa kupitia nchi ya Rwanda kurudi makwao. Hivi ushajiuliza M23 wana huruma ya kiasi gani ya kuwachia wale Mercenaries bila kuwagusa.
EU na US wanajua wanacho kifanya DRC na Kagame wanamtumia kulinda maslahi yao na kuficha maovu yao.