Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
- Thread starter
- #61
Wewe muongo. Nenda kawaulize Hamas,Hizbullah, Iran na Assad yu wapi sasa. Hoiiiii..... Hujui kitu dogo.Hata kama, Israel kapewa misaada ya kila aina kupigana na vijana wapo kwenye ki wilaya, lakini Israel imechemka.
DRC ina wananchi zaidi ya milioni 100, vijana hawajaamua kujitoa kupambana na Rwanda, wakiji organize vizuri na wakaweka uzalendo mbele na kujipanga kuidhibiti Rwanda , Rwanda itachakazwa.
Kikubwa ni kuwa na ile spirit ya kupambana na kutokata tamaa, Hamas hawakuwa na msaada wa maana wowote, wana RPG na AK 47s lakini walichofanya ni maajabu.