Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Umemwambia mtu akuelezee anachozungumzia lakini? Maana umetoa tu maoni general. πHuyu hana muda mrefu inamkuta kazi.
Umemwambia mtu akuelezee anachozungumzia lakini? Maana umetoa tu maoni general. πCongo ni wajinga , hata siku moja usikubali kupigania kwako, akija congo wewe ingia rwanda ukiwashe
Umemwambia mtu akuelezee anachozungumzia lakini? Maana umetoa tu maoni general. πEA na SADC tunatafutiwa vita vya lazima, hapa wanachonganishwa wapigane uchumi uyumbe zaidi nchi maskini zizidi kuwa na ufukara wa kutupwa ukapuku...
Wakubwa wa hii Dunia wanamtumia kagame kuchota madini ya congo
Ila Congo kuna shida gani? hivi ki Rwanda kilivyo kidogo inakuwaje kinawapelekesha kiasi hiko?
Hata kama, Israel kapewa misaada ya kila aina kupigana na vijana wapo kwenye ki wilaya, lakini Israel imechemka.Wakubwa wa hii Dunia wanamtumia kagame kuchota madini ya congo
Sasa yeye ana maslahi gani na mambo ya ndani yanayohusu raia wa Rwanda?Haina haja ya salamu. Tunaoweza kiinglish tu ndo tutaelewa hapa. Wale wenzangu na mimi tuliokomea madrasa tu hatukufika Sekondari na Chuo... Huu uzi tutaupita kama tunaaga maiti. Kagame amesema hawa viongozi wasijifanye hawajui. Wanajua sana. Kashasema sasa na amekaa pale. π Haka kajamaa kanajiamini nini lakini? Hakacheki na wowote? Kanalinda nchi yake.
View attachment 3220086
UK na karibu nusu ya dunia ipi ilikuwa eneo dogo ?
Ila Congo kuna shida gani? hivi ki Rwanda kilivyo kidogo inakuwaje kinawapelekesha kiasi hiko?
Kagame ni Rais anayejielewa sana.Haina haja ya salamu. Tunaoweza kiinglish tu ndo tutaelewa hapa. Wale wenzangu na mimi tuliokomea madrasa tu hatukufika Sekondari na Chuo... Huu uzi tutaupita kama tunaaga maiti. Kagame amesema hawa viongozi wasijifanye hawajui. Wanajua sana. Kashasema sasa na amekaa pale. π Haka kajamaa kanajiamini nini lakini? Hakacheki na wowote? Kanalinda nchi yake.
View attachment 3220086
Lete dataTuambiwe, kwanini kila M23 anapovamia DRC, mauzo ya Cobalt na Tantulum Rwanda yanashoot juu mara dufu? Why?!