and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Wao ni kulia tu kila siku, nchi ina wananchi milioni zaidi ya 100, bad wanalia kila siku...Kubwa jinga kabisa...
Mi naamini hizi ni excuse, Hamas pale Gaza wamekaza na hawajaondoka wamekomaa pale hadi Israel kanyoosha mikono.Mgogiro wa DRC ni mradi tata - money making scam kwa 'watabe' wa dunia.
Jamaa mweupe kabisa , kilichozungumzwa na alichodai ni vitu viwili tofauti.Yule mkalimani wa siku zile ndio huyu
Russia angekuwa amemdhibiti Ukraine vita ingekuwa ishaisha na kusingekuwepo na milipuko Kila uchwao ndani ya UrusiUkraine imedhibitiwa, hilo hata si la mfano.
Russia inapambana na kuivunja Ukraine nguvu za kijeshi.Vita siyo lelemama broo.
Mwezi February 2022 Putin alituma ule msafara wa 60km (wanajeshi wakiwa na vifaru, mizinga, makombora, nk) kwenda kuteka Kiev, ni miaka 3 sasa Kiev haijawahi kutekwa!
Na ukubwa wa eneo la nchi ya Russia ni mara 17 ya Ukraine
Hauwezi kuwakamata Wazungu na kuwadhuru, ile kuwaachia ni kawaida vinginevyo Wazungu watakushukia kama mwewe.Unazani Rwanda yupo peke yake?Wanao mpa kiburi ni EU na US,sababu ya zile Cobalt na Coltan. Hebu msikilize huyu mbunge wa Ubeligiji.
View: https://m.youtube.com/watch?v=ajQhHy6U830&pp=ygUfV2hlbiB3b21hbiBiZWcgbWFuIHRvIG1hcnJ5IGhlcg%3D%3D
Wewe unazani wale Mercenaries wa juzi wapo DRC kwa maslahi ya nani?
Halafu wale Mercenaries juzi wamjisalimisha kwa M23 na kuruhusiwa kupitia nchi ya Rwanda kurudi makwao. Hivi ushajiuliza M23 wana huruma ya kiasi gani ya kuwachia wale Mercenaries bila kuwagusa.
EU na US wanajua wanacho kifanya DRC na Kagame wanamtumia kulinda maslahi yao na kuficha maovu yao.
Ukraine yenyewe imemalizwa kitambo, kinachowapa back up hai sasa ni misaada ya silaha na fedha kutoka NATO.Russia angekuwa amemdhibiti Ukraine vita ingekuwa ishaisha na kusingekuwepo na milipuko Kila uchwao ndani ya Urusi
Hivi hili nalo umeshindwa kulielewa?Hauwezi kuwakamata Wazungu na kuwadhuru, ile kuwaachia ni kawaida vinginevyo Wazungu watakushukia kama mwewe.
Bro congo iliharibiwa na Mobutu,hakujenha jeshi imara,Bali jeshi la kumlinda yeye binafsi,aliwagawa wraia ili aweze kuwatawala kizuzu, na toka ameondolewa haijatulia kuweza kujenga jeshi lake.
Ila Congo kuna shida gani? hivi ki Rwanda kilivyo kidogo inakuwaje kinawapelekesha kiasi hiko?
Hiyo gold kumejaa brains; green yamejaa masokwe! π€£
Ila Congo kuna shida gani? hivi ki Rwanda kilivyo kidogo inakuwaje kinawapelekesha kiasi hiko?
Tena watakurarua kama simba anavyomgawanya ngiriHauwezi kuwakamata Wazungu na kuwadhuru, ile kuwaachia ni kawaida vinginevyo Wazungu watakushukia kama mwewe.
π π€£ πJamaa mweupe kabisa , kilichozungumzwa na alichodai ni vitu viwili tofauti.
Sio kupanda price, ni kupanda export quantity, price fluctuation huwa ni asilimia 2 hadi 5, sio 100 to 200 %Price hiyo kupanda haina mahusiano ya demand na suppy? Ngoja wadadisi wa mambo watufungue zaidi
Sasa mbona hakuna walau subtitles?Ndio ipo hivyo broo,huyu wa kwenye clip mzungu mwenzao na tena Mbunge kutoka ubeligiji msikilize.
View: https://m.youtube.com/watch?v=ajQhHy6U830&pp=ygUfV2hlbiB3b21hbiBiZWcgbWFuIHRvIG1hcnJ5IGhlcg%3D%3DLabda Russia aingilie kati nae ameshatoa onyo kwa Rwanda na M23,juzi kwenye kikao cha UN.
Mauzo ya madini Rwanda yameongezeka mara mbili mwaka uliopita wakati Rwanda haina migodiSio kupanda price, ni kupanda export quantity, price fluctuation huwa ni asilimia 2 hadi 5, sio 100 to 200 %
Unatumia ubongo kweli kufikiri au?EA na SADC tunatafutiwa vita vya lazima, hapa wanachonganishwa wapigane uchumi uyumbe zaidi nchi maskini zizidi kuwa na ufukara wa kutupwa ukapuku...
πππππTofautisha vita na kucheza sebene.
Russia anapigana na mataifa zaidi ya 50 Kwa pamoja Kwa mgongo wa Ukraine hapo Rwanda anatumika tu mabeberuUkishangaa ya Congo vs Rwanda hujayaona ya Russia vs Ukraine
Ni sawa, lakini ndio imetokea watafanya nini?Bro congo iliharibiwa na Mobutu,hakujenha jeshi imara,Bali jeshi la kumlinda yeye binafsi,aliwagawa wraia ili aweze kuwatawala kizuzu, na toka ameondolewa haijatulia kuweza kujenga jeshi lake.
Kwa udhaifu huo kagame anahakikisha haijijengi kijeshi na hata kiuchumi.
Mi simjui. Haya tuambie wewe unayelala naye....Una mahaba ya kijinga sana na Kagame
Humjui Kagame wewe acha ushabiki maandazi