Zakayomfupi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 281
- 320
Kwanini unamuweka Gaddafi kwenye kundi la akina Iddi Amini na Mobuttu??Hakuna marefu yasiyo na ncha, walikuwepo kina gadaffi, iddi amin , mobutu lakini Leo hawapo
Kuanzia Geita mpaka Kahama dhahabu imejaa, aje na waasi wake wajaribu kuchukua eneo hilo ili tuone anavyoogopwa.Huna Mali za kuja kuchezea mpaka wako yeye anadilo kwenye Mali kama unanguvu gusa mpaka wake
Tafuta hela Maskini weweLeo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Watanzania tulikubaliana tunapenda wanajeshi. Kama Sankara. Traore yule wa Guinea au hata wale makomandoo wetu wavebands mdogi. Tunaanzaje kumkataa meshing Paulo. Aliwahi kutuomba tumuachie bandari aiendeshe kijeshi sisi tupokee maokoto tu.Mbabe kwa nchi zenye marais wajinga
Hamna dhahabu hapo ya kufika hata robo ya goma ndio maana Jana mda napoKuanzia Geita mpaka Kahama dhahabu imejaa, aje na waasi wake wajaribu kuchukua eneo hilo ili tuone anavyoogopwa.
Wewe waache wamdharau Kuna mkubwa mwingine atakuja kuaibishwaKagame mpaka kujiamini hivyo kuna kitu kinampa jeuri. Hawezi tu from no where akawa na confidemce hiyo lazima anajua backup iko wapi na kwa kiasi gani anaweza kuhimili mikiki ya majirani wanaomdharau kwa udogo wa nchi yake. Kwahiyo asidharauliwe popote
We mnyarwanda una nichosha.Hamna dhahabu hapo ya kufika hata robo ya goma ndio maana Jana mda napo
Hayo maneno ya kijiweni.Tanzania pia inamuogopa haitaki kumsikia inasemekana jamaa yupo kama netanyahu yaani nchi ndogo ila jeshi lake hatari Sasa hivi
Huna Mali ya kujaribiwa unavumbi tu kama unamuweza mbabe KAGAME nenda kamguse kama ajakuaibishaWe mnyarwanda una nichosha.
Endeleeni na mambo yenu huko huko Goma.
Siku mkichoka kuishi jaribuni Tanzania
KAGAME anatamba Africa nzima au humsikii wewe unaongelea Africa masharikiHapa Africa mAshariki hakuna anaheiweza tz
Sawa sina mali, kwahiyo nyi kwenu Rwanda kuna mali gani ambayo Tanzania haina ili tuje kuigombea?Huna Mali ya kujaribiwa unavumbi tu kama unamuweza mbabe KAGAME nenda kamguse kama ajakuaibisha
Rwanda sio mbabe Africa.Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Wanyooshane kidogoLeo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Kuna watu wameshiba makande wanajamba ovyo hapa.Hayo maneno ya kijiweni.
KAGAME Sasa hivi anatamba Africa nzima kijeshi
Siyo mbabe wala nchi nyingine hazimuogopi. Ni kwamba yeye siyo mtu mstaarabu wakati wenzie ni wastaarabu. Miaka ya nyuma wakati Kikwete akiwa Rais alimshauri kuwa afanye mazungumzo na waasi ili wamalize mgogoro kwa njia za amani, yeye akamjibu kwa dharau kuwa hawezi kuongea na watu wa genocide. Kikwete alinyamza ila akamtuma General Mwakiborwa kwenda kuwafumua vibaraka wake M23 mpaka akashika adabu.Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Tanzania hamna jeshi lla kumpiga huyo netanyahu wa rwandaKuna watu wameshiba makande wanajamba ovyo hapa.
Wanadhani Tanzania ni Congo.
Hapana sio kweli.KAGAME Sasa hivi anatamba Africa nzima kijeshi