Kagame ndio rais mbabe Afrika?

Kagame ndio rais mbabe Afrika?

Huna Mali za kuja kuchezea mpaka wako yeye anadilo kwenye Mali kama unanguvu gusa mpaka wake
Kuanzia Geita mpaka Kahama dhahabu imejaa, aje na waasi wake wajaribu kuchukua eneo hilo ili tuone anavyoogopwa.
 
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Tafuta hela Maskini wewe
 
Mbabe kwa nchi zenye marais wajinga
Watanzania tulikubaliana tunapenda wanajeshi. Kama Sankara. Traore yule wa Guinea au hata wale makomandoo wetu wavebands mdogi. Tunaanzaje kumkataa meshing Paulo. Aliwahi kutuomba tumuachie bandari aiendeshe kijeshi sisi tupokee maokoto tu.
 
Kuanzia Geita mpaka Kahama dhahabu imejaa, aje na waasi wake wajaribu kuchukua eneo hilo ili tuone anavyoogopwa.
Hamna dhahabu hapo ya kufika hata robo ya goma ndio maana Jana mda napo
 
Kagame mpaka kujiamini hivyo kuna kitu kinampa jeuri. Hawezi tu from no where akawa na confidemce hiyo lazima anajua backup iko wapi na kwa kiasi gani anaweza kuhimili mikiki ya majirani wanaomdharau kwa udogo wa nchi yake. Kwahiyo asidharauliwe popote
 
Wewe waache wamdharau Kuna mkubwa mwingine atakuja kuaibishwa
 
We mnyarwanda una nichosha.
Endeleeni na mambo yenu huko huko Goma.
Siku mkichoka kuishi jaribuni Tanzania
Huna Mali ya kujaribiwa unavumbi tu kama unamuweza mbabe KAGAME nenda kamguse kama ajakuaibisha
 
Sawa sina mali, kwahiyo nyi kwenu Rwanda kuna mali gani ambayo Tanzania haina ili tuje kuigombea?
 
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Rwanda sio mbabe Africa.

Ila ni mbabe kwenye eneo la maziwa makuu.

T14 Armata JokaKuu zitto junior Lee Van free
 
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Wanyooshane kidogo
Cc : Tumbili wa mjini
 
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Siyo mbabe wala nchi nyingine hazimuogopi. Ni kwamba yeye siyo mtu mstaarabu wakati wenzie ni wastaarabu. Miaka ya nyuma wakati Kikwete akiwa Rais alimshauri kuwa afanye mazungumzo na waasi ili wamalize mgogoro kwa njia za amani, yeye akamjibu kwa dharau kuwa hawezi kuongea na watu wa genocide. Kikwete alinyamza ila akamtuma General Mwakiborwa kwenda kuwafumua vibaraka wake M23 mpaka akashika adabu.

Angalia Kikwete na Zuma wakicheza muziki baada ya kuwafurumisha M23 wa Kagame

1738263758010.png
 
Back
Top Bottom