Kagame: Nipo tayari kuendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 zaidi

Tokea mtt wa malkia amekuja hapo anatoa kauli za kishujaa tu atakuwa amepewa go ahead na wakubwa waliopo nyuma yake...
Just thinking [emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji1][emoji1] Labda mmeanza kumfuatilia Majuzi juzi, hizo ndio hua kauli zake.

Niliona video yake ya mwaka 1996 akiwa bado kachalii sana akisema Jana Zaire(ikiwa chini ya Mobutu) wameshinda wanarusha makombora Yao ndani ya Rwanda,Hilo Ni kosa kubwa wamefanya na lazima walipie(hapo alikua Ni Waziri wa ulinzi na makamu wa rais).Baada ya hapo akapanda ndege akaenda USA,alivyorudi kilichofuata hapo Ni 1st Congo war(iliyokuja kumuondoa Mobutu).
 
Lee Kuan Yew Ni mfano mzuri wa usemacho.
 
Hiyo trip kwend usa ilikuwa kuomba muongozo sio πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Na wanajisifu nchi ziko huru [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Maendeleo nchi za afrika tusahau
[emoji1][emoji1] mbele ya US hakuna nchi iliyoko huru,tumeona Hilo kwny hii Vita ya ukraine.Nchi zote za NATO+EU+Nyinginezo Kama Japan zimeburuzwa na US na wamefuata kile US wanachotaka.

Tofauti ya wenzetu na sisi Ni Kwamba wao wanaburuzwa hivyo hivyo na maendeleo wanayaona Ila Africa tunaburuzwa na maendeleo hakuna.
 
Sisi wanatuonea kwakuwa hatuna uwezo wa kuwafanya chochote
 
Motivational speakers bana πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…