Kagame: Nitagombea Urais tena mwaka 2024, Wananchi bado wana imani kwangu

Hawezi kuacha ataachaje wakati ana damu za watu?Atakua mjinga aondoke waje kumla kichwa?
 
Naachaje madaraka na ninayemwachia ni binadamu ,akinihamisha nchi nitafanyaje hapa hadikifo au uzeeee kabisa
 
Nikiona ujinga unaofanyika Libya naona Kagame aendelee miaka mia au hata hapa Tanzania tungejua ujinga huu ungerejea migao ya umeme na upuuzi wote huu namkumbuka sana magufuli
Kwani usitolee mfano wa nchi kama Japan, Korea Kusini, Botswana, Ghana etc ambako viongozi wanchaguliwa na wakimaliza muda wao wanaondoka na nchi zinaenda vizuri? Rwanda na Libya zilikuwa na common features, ambazo ni uongozi wa mabavu kiasi kwamba hata wale wanaonyanyaswa hawasikiki. Anapoondoka kiongozi wa namna hii, lazima moto utawaka.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
huyu kishingo naye anaelekea kubaya, anaogopa kuachia ofsini kwa nini?
 
Mwisho wake natabir hautakuwa mzuri huyu mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…