Endelea kuishi pangoni.Hiyo hana-uwezo wakupigana na kambi ya monduli sembuse drc
Mizigo yake yote silaha etc anapitisha hapo bandarini! Hamna kitu huyo achana na stories za vijiwen.Endelea kuishi pangoni.
Anaweza yy ndie aliemsaidia Museven kuingia madarakan nandie aliemsaidia Rawrent Kabila kumuondoa Mobotu madarakanHiyo hana-uwezo wakupigana na kambi ya monduli sembuse drc
Hizi ndo story za vijiweni sasa! Alimsaidia mseven? Au mseveni ndo alimsaidia?Anaweza yy ndie aliemsaidia Museven kuingia madarakan nandie aliemsaidia Rawrent Kabila kumuondoa Mobotu madarakan
Ila ni muda wa kumpiga Kagame..Hizi ndo story za vijiweni sasa! Alimsaidia mseven? Au mseveni ndo alimsaidia?
Mseven kaingia madarakan 1986 kupitia mgongo wa Tz na kagame kaingia madarakan 1994 kupitia mgongo wa mseven,Put your facts right.
Pigeni huyo mwendawazimuIla ni muda wa kumpiga Kagame..
Alete pua Congo tumchape..
Na yeye mambo yake yamekua mengi..
Kelele kila saa!
Aje mzima mzima tumchikue mzima mzima..
Yani mtu ndani kwake ana mipasuko ya kikabila alafu anataka atoke akapigane?
Stupid
View attachment 3022190
“We are ready to fight if necessary with the DR Congo, we are not afraid of anything….."
Anaendelea kusema
" Tshisekedi is using FDLR ideology against his own people , If you accuse other people of what you are guilty of, it is that something is wrong in your head"
Muwe mnajielimisha sio kushabikia tu, Israel anapata sapoti ya Marekani na nchi za Magharibi 100%. Juzi juzi tu hapa US wametoa fedha na silaha kwa Israel na Ukraine.Vita siyo ukubwa wa nchi, vita ni intelejensia, kama jeshi la DRC wameshindwa kutokomeza waasi wa M23 ndo wataweza kumpiga Rwanda? Leo Israel yenye eneo kama mkoa wa Kilimanjaro inawajambisha mataifa ya kiarabu makubwa na yenye population kubwa. Vita ni mbinu, ubora wa jeshi na uzalendo, silaha, tumeona jeshi la Rwandan walivyoingia Mozambique waasi walinywea
Hizi ndo story za vijiweni sasa! Alimsaidia mseven? Au mseveni ndo alimsaidia?
Mseven kaingia madarakan 1986 kupitia mgongo wa Tz na kagame kaingia madarakan 1994 kupitia mgongo wa mseven,Put your facts right.
Kujilimbikizia mali na madarakaNa viongozi wanataka nini ?.
Mzungu hahitaji kukuibia, unampatia mwenyeweNyuma ya kagame kuna wazungu ambao wamtia UJINGA apigane waibe madini