Kagame: Tupo Tayari kumpiga Tshisekedi

Kagame: Tupo Tayari kumpiga Tshisekedi

Huyo jamaa yenu Slim anataka vita na walking dead bha mutu ya kongo
Kwanza awe amekula ameshiba maana hao jamaa washajikatia tamaa na maisha,
Utatumia nguvu kubwa kupigana na majamaa ambayo hata hayajui yanapigania nini hiyo battle utaenda long time msituni na utakua sawa sawa unashindana na kundi ngedere kugombania shamba la mahindi!

Oy Kagame umekula lakini tuingie ground?
😁😁
 
Anaweza yy ndie aliemsaidia Museven kuingia madarakan nandie aliemsaidia Rawrent Kabila kumuondoa Mobotu madarakan
Hizi ndo story za vijiweni sasa! Alimsaidia mseven? Au mseveni ndo alimsaidia?
Mseven kaingia madarakan 1986 kupitia mgongo wa Tz na kagame kaingia madarakan 1994 kupitia mgongo wa mseven,Put your facts right.
 
Hizi ndo story za vijiweni sasa! Alimsaidia mseven? Au mseveni ndo alimsaidia?
Mseven kaingia madarakan 1986 kupitia mgongo wa Tz na kagame kaingia madarakan 1994 kupitia mgongo wa mseven,Put your facts right.
Ila ni muda wa kumpiga Kagame..
Alete pua Congo tumchape..
Na yeye mambo yake yamekua mengi..

Kelele kila saa!
Aje mzima mzima tumchikue mzima mzima..
Yani mtu ndani kwake ana mipasuko ya kikabila alafu anataka atoke akapigane?
Stupid
 
Ila ni muda wa kumpiga Kagame..
Alete pua Congo tumchape..
Na yeye mambo yake yamekua mengi..

Kelele kila saa!
Aje mzima mzima tumchikue mzima mzima..
Yani mtu ndani kwake ana mipasuko ya kikabila alafu anataka atoke akapigane?
Stupid
Pigeni huyo mwendawazimu
 
View attachment 3022190
“We are ready to fight if necessary with the DR Congo, we are not afraid of anything….."

Anaendelea kusema
" Tshisekedi is using FDLR ideology against his own people , If you accuse other people of what you are guilty of, it is that something is wrong in your head"

Watampigaje na Tanzania na South wapo pale?
 
Vita siyo ukubwa wa nchi, vita ni intelejensia, kama jeshi la DRC wameshindwa kutokomeza waasi wa M23 ndo wataweza kumpiga Rwanda? Leo Israel yenye eneo kama mkoa wa Kilimanjaro inawajambisha mataifa ya kiarabu makubwa na yenye population kubwa. Vita ni mbinu, ubora wa jeshi na uzalendo, silaha, tumeona jeshi la Rwandan walivyoingia Mozambique waasi walinywea
Muwe mnajielimisha sio kushabikia tu, Israel anapata sapoti ya Marekani na nchi za Magharibi 100%. Juzi juzi tu hapa US wametoa fedha na silaha kwa Israel na Ukraine.
 
Hizi ndo story za vijiweni sasa! Alimsaidia mseven? Au mseveni ndo alimsaidia?
Mseven kaingia madarakan 1986 kupitia mgongo wa Tz na kagame kaingia madarakan 1994 kupitia mgongo wa mseven,Put your facts right.

Museveni kamtoa Obote, rafiki wa Nyerere, huo msaada wa Tanzania kautoa wapi wakati miaka 80 nchi ilikuwa inapumulia machine.
Kagame alikuwa Chief Military Intelligence wa Museveni kuanzia msituni mpaka ndani ya serikali yake .
 
Kwa hapo tall atajichanganya wale bamutu ba dansee mpaka muda huu wapo wapo tuu hawana dira hawajui adui yao hasa ground ni nani ,kitendo cha tall kwenda mazima mazima ataumia sana sana,
Kumbuka tall ana support ya jeshi ila support ya nchi nzima hana na ndio tatizo litaanzia hapo
 
Ukiachana na Silaha,Siri kubwa ya Ushindi ni Nidhamu ya Kijeshi ya hali ya juu kwa askari wako.
DRC kwa bahati mbaya hawana Jeshi madhubuti,Jeshi lao ni dhaifu sana na Rwanda wanajua Hilo.
Bila msaada wa Tanzania,DRC atapigwa asubuhi tu.
 
Huyu baba alivyo hafanani na kuwa mgomvi au mtu wa vita vita, si atulie bas na yeye khaaaah.
 
Back
Top Bottom