Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Mkuu, huyo jamaa kasema ukweli population ya congo ni kubwa sana Rwanda Ina nafasi kubwa kushindwa na kingine huwezi kujua nchi jirani kama Kenya na Tz zitakuwa upande ganiMkuu, population inahusiana nini na Ushindi Katika Vita?
Kuwa na Jeshi kubwa na idadi kubwa ya watu haikupi guarantee ya Ushindi!
Japokuwa siwapendi wazayuni,lakini pamoja na udogo wao walizishinda Egypt,Jordan na Syria kwenye Vita ya siku 6 tu!
Hii kauli yake sio ya kupuuzwa.
Jeshi lao liko modern sana, mpaka wanaongea hivyo jua wamejipanga!
Ukiona Kobe yupo juu ya Mti ujue Kapandishwa huyo...!
Watu wako MACHO.
kwa msaada wa wenye nchi.Inavurugwa na mabeberu
Sasa unadhani kutokomeza waasi wanaosapotiwa na nchi za magharibi unazani ni kazi rahisi au unaongea tu.Mataifa ya kiarabu yalipigwa na Muungano wa USA na washirika wake UK,France na Germany acha kutuletea hapa hadithi za kitoto eti Israel ilizipiga nchi za kiarabu.Vita siyo ukubwa wa nchi, vita ni intelejensia, kama jeshi la DRC wameshindwa kutokomeza waasi wa M23 ndo wataweza kumpiga Rwanda? Leo Israel yenye eneo kama mkoa wa Kilimanjaro inawajambisha mataifa ya kiarabu makubwa na yenye population kubwa. Vita ni mbinu, ubora wa jeshi na uzalendo, silaha, tumeona jeshi la Rwandan walivyoingia Mozambique waasi walinywea
Mkuu unaweza weka source ya hii taarifa?Kwa East,central and southern Africa Rwanda ndie super power kwa sasa.
Mazingira ya upenyo na ulaghai yapo kote,shida ni kwa mlaghai,maana uasi hata ndani ya dini umokwa msaada wa wenye nchi.
ni sawa na taifa langu la ukimani kutwa kuwalalamikia wahindi wanasahau wahindi wana take advantage ya mfumo mbovu na support ya watawala. ukosoaji uanzie kwa watawala wanaotengeneza mazingira ya upenyo wa ulaghai na hujuma.
Hawa
Kuna binaisa na lule washawahi kuwa Marais hapo Uganda kabla ya museven
Hawa ni baada ya kufurushwa Iddi Amini. Ni kabla Obote kurudi kwa mara ya pili.Kuna binaisa na lule washawahi kuwa Marais hapo Uganda kabla ya museven
Museven alimtoa okello na si oboteHawa ni baada ya kufurushwa Iddi Amini. Ni kabla Obote kurudi kwa mara ya pili.
Ukisoma #74 utaona hatupinganiMuseven alimtoa okello na si obote
Mbona aliwahi itandika DRC twice 1996 na 1998-2003!! DRC ni dhaifu sana wanapigwa tu hata na BurundiRwanda bado Haina nguvu ya kuhimili vita rasmi na taifa jingine ingawa Wana silaha kiasi za kisasa
Mbona amewahi kwenye 1st Congo War, mind you 2nd Congo War DRC alipigwa ila akaokolewa na Angola na ZimbabweYaani rwanda iipige dr congo, kagame yuko serious au anatania?
Hii excuse ya kitoto sana, nakumbuka Zimbabwe ilipomsaidia Kabila kupigana dhidi ya Kagame wao ndio waliiba dhahabu nyingi huko Katanga!Nyuma ya kagame kuna wazungu ambao wamtia UJINGA apigane waibe madini
Wale Sio wakimbizi wako Kivu Miaka nenda Rudi hata kabla Kongo kupata uhuru ni sawa na sisi useme wajaluo wakimbizi toka Kenya au wanyada useme wakimbizi toka MalawiMkimbizi awe raia, kisa kalowea nchini kwako is it?.
Kumbuka wakati wa vita ya wenyewe kwa wenyewe (Watutsi na Wahutu) hapo kulifanyika migrate kubwa ambayo ndiyo leo inasumbua DRC na PK kuwatumia hao kuiba mali za Kongo.Wale Sio wakimbizi wako Kivu Miaka nenda Rudi hata kabla Kongo kupata uhuru ni sawa na sisi useme wajaluo wakimbizi toka Kenya au wanyada useme wakimbizi toka Malawi
Wale watusi ni kabila halali la Kongo kama walivyo kabila halali la Rwanda na Burundi
Raisi Kikwete anatakiwa kuingia kwenye Kitabu Cha Guinness world of record alisema waafrika tusiwe watumwa wa historiaKumbuka wakati wa vita ya wenyewe kwa wenyewe (Watutsi na Wahutu) hapo kulifanyika migrate kubwa ambayo ndiyo leo inasumbua DRC na PK kuwatumia hao kuiba mali za Kongo.
Sidhani kama mimi au mwingine anaweza kukupinga kwa reply yako.... Kongo hawawatendei haki kutokubali kama raia wa Kongo na kuwanyanyasa kisa tu watusi
...