Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Mkuu, huyo jamaa kasema ukweli population ya congo ni kubwa sana Rwanda Ina nafasi kubwa kushindwa na kingine huwezi kujua nchi jirani kama Kenya na Tz zitakuwa upande ganiMkuu, population inahusiana nini na Ushindi Katika Vita?
Kuwa na Jeshi kubwa na idadi kubwa ya watu haikupi guarantee ya Ushindi!
Japokuwa siwapendi wazayuni,lakini pamoja na udogo wao walizishinda Egypt,Jordan na Syria kwenye Vita ya siku 6 tu!
Hii kauli yake sio ya kupuuzwa.
Jeshi lao liko modern sana, mpaka wanaongea hivyo jua wamejipanga!
Ukiona Kobe yupo juu ya Mti ujue Kapandishwa huyo...!
Watu wako MACHO.