Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Appointment without job description.
Umempa za uso KagashekiUtaratibu wa kusikiliza kero zs wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.
Kero za wananchi zinasikilixwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.
Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
Alikuwa waziri anayeitumikia nchi .....sio bukobaKagasheki hana lolote ni mmojawapo wa viongozi waliokuwa wabinafsi alichangia pakubwa kudumaza bukoba wakati wa Enzi yake yupo waziri na mbunge wa bukoba mjini hakuna lolote alilosaidia mkoa wa Kagera atulie tu muda wake umepita amwache bwana mdogo Makonda apige kazi.
Tena makubwa haswaIna madhara na madharau
Lea familia na wajukuu bwana balozi tafadhali sana
Wewe na Bashite naona akili zenu zinafananaKagasheki hana lolote ni mmojawapo wa viongozi waliokuwa wabinafsi alichangia pakubwa kudumaza bukoba wakati wa Enzi yake yupo waziri na mbunge wa bukoba mjini hakuna lolote alilosaidia mkoa wa Kagera atulie tu muda wake umepita amwache bwana mdogo Makonda apige kazi.
Kila mtu ana staili yake ya Uongozi.Utaratibu wa kusikiliza kero zs wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.