Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
-
- #141
Acha ujingaHuyu mtoto ana matumizi mabaya mno ya fedha za UMMA NA CHAMA, muaangalieni mno, ana force taasisi na ofisi za UMMA kuingia matumizi yasiyopangwa na yasiyo na Tija kwenye shughuli zake za kujitungia tungia, misafara zaidi ya makamu wa rais, mpuuuzi mno, endeleeni kumchekea
Utakuwa unafaidika na posho za misafara yakeAcha ujinga
Acha uzembeWanasema Chama chenu kimekuwa bubu
We kamanda umekuwaje?Huyo mwambieni,its now or never.Akasome ile reli ya kati ilijengwa kiaje.Wajeru hawakuwa na mchezo.Punda bila kumsukuma haendi.
Acha kudhania. Huyo ni mwenzakoHapo naona kama kweli kaandika Kagasheki basi kaandika ujinga.
Siamini kama Kagasheki anaweza kuandika ujinga namna huo.
Wacha ujinga wewe, mwenzangu nnatembea nae.Acha kudhania. Huyo ni mwenzako
Kazi ya kiongozi siyo kulima kahawa ni kuwaletea wananchi maendeleoUlitaka awalimie kahawa wawe matajiri?
Usijumuishe kabila zima kwa upumbavu wa mtu mmoja..Sasa nimeamini wahaya hawana shukurani, hivi makonda kuuliza taa za uwanja wa bukoba zitawekwa lini nalo ni kosa? Kuuliza control tawa ya kuongozea ndege bukoba nayo ni kosa? Hivi kagasheki hajui precision air ilitumbukia ziwani kwa kukosa controo tawa rubani akawa anachungulia dirishani haoni mbele kisa ukungu, kwake kagasheki wale watu waliokufa ilikuwa kafara? Shenzi zake kabisa
Samia anachojali, ni punda afe,mzigo ufike!Ameandika Khamis Kagasheki
"Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto Mawaziri na Waziri Mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali ina madhara.”
“Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za Wananchi kwani wao ndio Waajiri wa Viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji Viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."