Kagasheki: Mtindo wa Makonda kuwapa tumbo joto Mawaziri haufai. Dunia nzima kuna utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi

Kagasheki: Mtindo wa Makonda kuwapa tumbo joto Mawaziri haufai. Dunia nzima kuna utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi

Huyu mtoto ana matumizi mabaya mno ya fedha za UMMA NA CHAMA, muaangalieni mno, ana force taasisi na ofisi za UMMA kuingia matumizi yasiyopangwa na yasiyo na Tija kwenye shughuli zake za kujitungia tungia, misafara zaidi ya makamu wa rais, mpuuuzi mno, endeleeni kumchekea
Acha ujinga
 
Sasa nimeamini wahaya hawana shukurani, hivi makonda kuuliza taa za uwanja wa bukoba zitawekwa lini nalo ni kosa? Kuuliza control tawa ya kuongozea ndege bukoba nayo ni kosa? Hivi kagasheki hajui precision air ilitumbukia ziwani kwa kukosa controo tawa rubani akawa anachungulia dirishani haoni mbele kisa ukungu, kwake kagasheki wale watu waliokufa ilikuwa kafara? Shenzi zake kabisa
Usijumuishe kabila zima kwa upumbavu wa mtu mmoja..

Huyu ndo alifanya hata huo uwanja ujengwe katikati ya mji na hatimaye kuubana mji wa bukoba ambao una tambalale ndogo...

Plan ilikuwa kujenga uwanja wa Kimataifa kajunguti 35km kutoka bukoba maeneo ya misenyi kama ilivyokuwa imepangwa toka 1996 na watu walishalipwa fidia kule.... lakin huyu swahiba wa kikwete akakataa na kutaka ujengwe jimboni kwale ili apate credit miaka ya 2012...Mungu si athumani akaaanza ugonvi na meya wa Bukoba na kupelekea miradi ya ujenzi wa soko na stendi kuu bukoba kukwama...na 2015 upinzani wakachukua jimbo la bukoba na yeye kutupiliwa mbali...
2020 CCM wasingemrudisha huyu mtu hata kidogo so magufuli akamleta mtu mmpya kabisa Mh byabato...na kweli maendeleo ya mji wa Bukoba yameamuka tena kwa kasi Bukoba kukijengwa stendi mbili, mji kuwekewa taa, barabara za njia nne nk nk...
Juzi hapa Byabato analia hadharani moja ya sababu ni huyu Kagasheki na ubinafsi wake anataka nyumba yake iliyoko barabarani isivunjwe sasa sijui hata barabara ya njia nne!!....na naskia anataka arudi 2025...japo watu wa Bukoba hawamtaki hats kumsikia bora huyu byabato aendelee
 
Ameandika Khamis Kagasheki

"Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto Mawaziri na Waziri Mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali ina madhara.”

“Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za Wananchi kwani wao ndio Waajiri wa Viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji Viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Samia anachojali, ni punda afe,mzigo ufike!
Yeye anaangalia Uchaguzi ujao, na, kusaidia familia yake na kenge wa CCM waibe,
Tatizo ni kichwa kimeoza,
 
Back
Top Bottom