Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

Lugha huwa ni moja tu Kiswahili! huo muda wa kujua lugha ya wahaya unaupata wapi? Wenyewe wameshindwa kukua kiuchumi sembuse wewe kujua lugha
Mbona wazungu wanaupata muda wa kujifunza , miezi 6 tu inatosha kujua lugha yoyote ile duniani.Kwanini iwe kiswahili tu? Toa sababu kama 5, tena hata sign board za barabarani ilitakiwa ziwe za lugha yao iwapo wanaona wanazielewa zaidi. Kwani kuna ubaya gani nikajua lugha zote kadri nitakavyojaliwa, toa sababu za maana weka chuki pembeni.Nikiwa mjini hasa Dar nikakuta jamaa wanabonga Kinyakyusa chao au kichaga au kipogoro nk bila kuona aibu kama wewe natamani sana nami kujua. Lakini hapo ulipo hauna hata wazo la kuwachukia wahindi, ukienda dukani kwao kununua kitu kabla haujajibiwa bei lazima abonge kihindi na mwenzake au lazima apige simu kwa kihindi ndipo atakwambia bei, je unaonaje hapo? Sasa wewe uliambiwa bei ya mahindi kwa kihaya unakuja kuandika gazeti, je ungeenda kwenye mkutano mwanzo mwisho ni lugha yao tu.
 
Jamaa jinga sana yule ndio maana nimemwambia hata sign board za barabara zinatakiwa ziwe kwa lugha ya kihaya iwapo wataona linawafaa zaidi, mbona china, korea, japan wako hivyo.
 
MLeta mada kaongelea mkoa wa kagera, hajaongelea hiyo mikoa mingine. Ungetulia ukasoma ukaelewa, kisha ukachangia.

Mimi nimekaa Bukoba, nimefanya kazi Bukoba, nakubaliana na mleta mada kwa 500% ya aliyoyasema.

Ungeichukua kama ni changamoto, ili kurekebisha mabaya yawe mazuri au kupunguza ubaya kwa kiasi fulani.

Kila la kheri.
 
Ninachokiona wenye kwao hawataki kujifunza, kwao ni sawa tu yanayoendelea pale.... Muda utafika wataelewa ila itakua too late.
 
Ninachokiona wenye kwao hawataki kujifunza, kwao ni sawa tu yanayoendelea pale.... Muda utafika wataelewa ila itakua too late.
Hapo ndo shida inapaonzia . Haiwezekani comments 1000 zinakusema vibaya afu MTU bado umeshupaza shingo. Ndo maana tukasema ubishi huu ndiyo umepelekea wawe na stand ya vumbi Hadi leo
 
Sehemu yoyote ambayo ukabila umetamalaki, kuwa na naendeleo ni nadra sana. Miji inajengwa na wageni/investors ambao huleta mitaji yao sehemu husika.
Hawa ndugu zetu damu yao ya ukabila ipo level ya juu sana. Kwa hali ilivyo
Huo mkoa una safari ndefu sana kimaendeleo.
Kuna ndugu yangu alipata ajira serikalini bukoba. Ilibidi aombe uhamisho.
 
Sehemu yoyote ambayo ukabila umetamalaki, kuwa na naendeleo ni nadra sana
Hii ni shida moja lakini shida kubwa zaidi ni hiyo denial state waliyonayo hao wahusika wa huko (wahaya kindakindaki) kuanza kujiunda makundi kupinga hizo facts wanazopewa na wadau hapa.
 
samehe baba,Naona una machungu mengi samehe tumejifinza asee
 
Kwa east Afrika, Wa bongo wanawaogopa wa Kenya, Kwa Afrika, Wa Kenya wanawaogopa wanaigeria! If you want to kill a dog, give it a bad name!
Kama kichwa panzi, ukioa muhaya, atakuendesha mpaka ufe!
Wahaya wanawezana na wachaga, na wazungu! (Anglo Saxon) akili kubwa! Muhaya LA Saba! Ana akili Ina chaji kuliko msukuma mwenye PHD!
 
Hii ni shida moja lakini shida kubwa zaidi ni hiyo denial state waliyonayo hao wahusika wa huko (wahaya kindakindaki) kuanza kujiunda makundi kupinga hizo facts wanazopewa na wadau hapa.
Kenya kuna ukabila, na inaongoza kwa uchumi m kubwa EA, bajeti ya Kenya, inalisha TZ, UG, Rwanda, Burundi, Congo, na South Sudan!
Unataka kusema Dar, imeendelea kwa vile wenyeji sio wakabila!?
Kuna watu waanssema ohh kagera stend mbovu, usomi mwingi wanashindwa kujenga stend! Nikuulize stend ya msamvu Moro, imejengwa na wenyeji Moro!? Au mipango ya tamisemi kitaifa?! Ulitaka ijemgwe Kigoma, Rukwa?
Maldini mengi yanatoka Kanda ya ziwa, umewahi kufika kakola, ulipo mgodi m kubwa Wa dhahabu!? Bulyankuru, uone kaya za karibu zilivyotopea kwenye ufukara? Unsfikri fedha ya madini inabaki kahama! Inakuja Dar kujenga flyovers! Maendeleo ya kila mkoa, yanapangwa na, serrikali kuu, ndio yenye mapato!TRA ikikusanya kila mkoa, yanapelekwa hazina!
Umewahi, kufika ugweno, upaleni kwa Cleopa msuya? Unafikri zile rami kule milimami zilijengwa na wanachi kwa kulima? Wanasiasa wao walipokuwa madarakani walishinikiza pesa zijenge huko, wakati sio kipaumbele,
Rejea,Baada ya Mpango kuwa makamu, kijiji chake ikapelekwa tingatinga lichonge barabara! Why kwa vile kuna m kubwa anatoka kule,
Sawa, hatuna stend nzuri, Ila tunaongoza kwa wasomi wengi waliotapakaa kila Kona duniani, Nenda Kairuki hospital pale, uone vitu,kemebos shule,
Usisahau Kardinal Wa kwanza Afrika, alikuwa Muhaya, nyie mnaowasema wahaya mna nini! Ancestors wenu wameacha regacy IPI.
Umaskini na Hari ya maisha ilivyo kagera, IPO mikoa mingi tu, Kuanzia songwe,Shinyanga, Tabora, kule isakamaliwa, isagenhe, imalaseko, Nanyumbu, masuguru, Tunduru mpaka liwale, tupo sawa tu
 
Hlf jamaa wanajifanya ma-much know hao. kuna mmoja alikuwa ticha wetu sasa bana daah robo tatu ya muda wa kufundisha yey anautumia kujisifu kwanza yeye mwenyewe na familia yake🤣jamaa kubaff sana hawa
 
Kuna mmoja kaoa sister wangu...kuna kipindi alipitia magumu, sister katuambia tukamwambia tutapigana arudi mstarini...bin vuu mdogo wangu kampa connection ya kampuni ya ngozi nyeupe na hati ya kusafiria nilimhangaikia mimi ndani ya wiki tu maana nina marafiki pale. Sisi tukawaeleza mambo safi kwa shem sasa, jamaa ana kiburi ila tulihangaika sababu dada yetu, imepita miezi kimyaaa tunakuja sikia anawaambia ndugu zake kajipambania mwenywe kila tu mpaka alipo sasa 😂😂😂. Sister nae aliambiwa na wifi yake same thing mpaka akatuambia wadogo zangu huyo ndivyo alivyo so nashukuru mmenipigania
Sister alikuja dar ndo yeye anapiga simu eti "hamjaaambo hukoo" na zile sauti zao kama wana nyanya chungu mdomoni 😂😂😂😂
 
Hapo ndo shida inapaonzia . Haiwezekani comments 1000 zinakusema vibaya afu MTU bado umeshupaza shingo. Ndo maana tukasema ubishi huu ndiyo umepelekea wawe na stand ya vumbi Hadi leo
Kabisaa.....
Hii ni shida moja lakini shida kubwa zaidi ni hiyo denial state waliyonayo hao wahusika wa huko (wahaya kindakindaki) kuanza kujiunda makundi kupinga hizo facts wanazopewa na wadau hapa.
Ukichunguza vizuri Baadhi ya tabia zao wamezidisplay hapahapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…